Tofauti kati ya wasichana wa UDSM na wasichana wa UDOM
Kuna tofauti kubwa kati ya mabinti wa UDSM na wale wa UDOM. Mbali na kwamba wote ni wazuri na wamemeenda vidato lakini zipo tofauti kubwa...
Madadii na mashostito. Leo tunasherekes birthday ya Heaven on earth pale Chawote Bar. Usiku tunaenda kuumalizia zero Pub maandalizi yote yanaratibiwa na Baba V.
Pale Chawote muwe makini na mizigo...
Ilikua ni darasani mwalimu akatoa jaribio kwa mfumo wa Insha! Na hakuna kufuta futa!
Swali la kwanza; "Eleza ni chakula gani ambacho ukilipiwa hotelini unaweza kula! (5 marks)
Wavulana; "Ugali...
Kwa kuwa Mwanamuziki akifariki husindikizwa kwa NYIMBO, Askari au Kiongozi husindikizwa kwa kupiga Risasi au Mizinga. Kwa nini Mwalimu nae akifariki tusimsindikize kwa VIBOKO? Ni mtazamo tu jamani...
BABA: Kati ya mimi na mama yako
unampenda nani zaidi?
DOGO: Nawapenda wote
BABA: Mimi ningeenda Dubai
halafu mamako akaenda London, we ungeenda
wapi?
DOGO: Ningeenda London
BABA: Kwanini?
DOGO...
Mlevi moja alipanda daladala konda akamwambia kwa hiyo tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni,mlevi akajibu kumbe mnaenda mbinguni nishushe kwani sikujua mi ninaenda kilabuni.
wish u weekend...
Dear salary,
As you are near to c ome home, Please stay with me even for little while
You left me in such a sudden rush last month, I didn't even have time to tell your my plans. I am sorry...
Wadau wa habari motomoto za Udaku leo tena gazeti lenu linakuja na vitu motomoto, Kwa hisani ya TANMO Bishanga na Elizabeth Dominic linashuka kama ifuatavyo.
1 zubedayo_mchuzi...
Kusali sana
Starehe
Kupiga mizinga
Tapeli(Yahaya)
Wizi( hata wa wake/waume za watu)
Kujifanya matawi kumbe Loh...majanga
Kupenda mabeki 3(ulevi mbaya kabisa )
Nk nk ...jitokeze waweza pata hata...
Salaam sana wana cc wote.
Nahitaji gari kama hii hapa chini,
Naona kama itanifaa kwenye kazi zangu ndogo ndogo za hapa na pale.
Napenda mwenye gari kama hii hapa tuwasiliane
ili niweze kununua...
Ivi ni kweli wanaume wako polygamous in nature yani huwezi ukawa na mwanamke mmoja?yani kuna cku niko zangu chuo na marafki nn tunadiscuss tu masomo ya darasani..sasa topic ikazuka eti mwanaume...
1. Ile assignment haitakusanywa leo.
2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi.
3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual.
4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo.
5. Hii...
Ndoto zingine sio za kuota kabisa yaani chozi limenidondoka ndani ya ndoto baada kuona kikojoleo hakipo.
Imebidi nipige maombi kwenye ulimwengu wa roho nimemuona zubedayo_mchuzi akiwa ameshika...
Jamaa: hello mrembo ,samahan una mpenzi?
Binti: hapana sina mpenzi
jamaa: mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema ,si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae
binti: lakini mimi...