JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hakya nani vile nimebakia tu mimi peke yangu bado sijawa presidaa, watu ni mapresdaa wa wasafi, wengine wachafu, wengine mapresidaa wa wembamba, mara mapresidaa wa matozi, hadi kingwee ndani ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Dogo kaingia saluni ya mtaani kwao, kinyozi akamnong'oneza mteja: unamuona huyo dogo anayeingia, ni kilaza na mbulula hakuna mfano. Booonge ya mjinga. Ziro kabisa. Angalia, ngoja nikuhakikishie...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Najuwa watanzania wenzangu mmekuwa na pilikapilika za hapa na pale kwa ajili ya kutafuta riziki pole sana nawatakia usiku mwema
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamaa fulani alikuwa ametulia beach,mzungu akapita akamuuliza"are you relaxing?jamaa akawa hajamuelewa akajibu no,mzungu mwingine akapita akamuiliza vilevile,akaona hapa nasumbuliwa akasogea...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Unasumbuliwa na mbu kiasi kwamba huwezi kulala.? Basi muue mmoja, wengine wote wataenda msibani kisha utalala kwa raha.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
A woman was having sex with her lover in her apartment, Suddenly she heard her husband arrive. She told her lover, stay like statue and Don't move. Husband: Who is this?" Wife: This is a robot I...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watalii wana dharau sana bana, Mtalii amekodi boti anazunguka nalo kwenye mto zambezi kuangalia mandhari,akamuuliza kijana anayeongoza boti, "do you know biology,psychology and anthropology?"...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Aiseee kuchat na housegirl shida usiombe muwe mnachat text zake utakuta kama hii...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Wadau wote wa cc na jf kwa ujumla ..... Asalam Aleikum Kama mnakumbuka Mtambuzi alituma hizi picha juzi kutoka huko kwao alikoenda kuonyesha malalo ya babu yake wa saba ; Baada ya kutuma hizi...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Dearest cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita...
6 Reactions
61 Replies
8K Views
Za mishe za maisha wana chit chat.natafta chumba cha kupanga either two rooms au moja sehemu iwe na security uzio uwe wa fence au uzio wowote wenye ulinzi.maeneo yawe magomeni au maeneo ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
BEFORE MARRIAGE *************** Husband - Aaah! ...At last! I can hardly wait! Wife - Do you want me to leave? Husband - No! Don't even think about it. Wife - Do you love me? Husband - Of course...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa kakosea baada ya ku2ma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema: MIMI NAKUPENDA NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZ MKE WANGU HAWEZ KUJUA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukikuta msg hii kwa Mkeo au Mumeo unafanyaje? "Ahsante sana, game ya jana ikuwa tamu kishenzi, yaani sijawahi kupata kama ile" Kama wewe ni mwanaume msg hiyo iko kwenye simu ya mkeo imetoka kwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Dah! maisha yanaenda kasi saana! Enzi zetu bhana, Enzi hzo kumpata msichana mpaka uvizie anaenda mtoni au kufua mitoni! Unamtongoza leo anakukubalia mwakani,enzi zetu akikukubalia tu! Mnapanga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UJINGA MWINGINE BWANA!! Jamaa mmoja aliamka asubuhi akagundua kuwa usiku kanyolewa nywele na wachawi, basi siku iliyofuata akaamua kulala uchi ili anyolewe na m*v*zi kabisa. Asubuhi anaamka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama umetendwa au unahtaj mpenz hujachelewa cha muhimu weka sifa za mpenz unayetaka kuwa naye tabia pamoja na mwonekano wa nje kisha weka namba yako hapa subiri baada ya nusu saa utapokea simu...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
1.Nyani haoni:- valise miwani 2.Debe tupu :- weka dengu 3.Maskini akipata :- itaacha iba jumbani 4.Penye kuku wengi :- Chinja bili au tatu 5.Asiyesikia la mkuu :- Peleka yeye polisi 6.Penye wengi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wewe unatumia mswaki wako kwa muda gani?? unaweza kuta mtu anatumia mswaki wake karibia miezi sita, yaani kila siku ule ule, mpaka akiswaki damu inatoka... seriously wewe unatumia mswaki wako kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeikuta sehemu: Ukitoa 1 kwenye 9 inabaki 8. ile 1 uliyoitoa iandike nyuma ya 8 utapata 18 ambayo ni sawa na 9 mara 2. Toa tena 1 kwenye 18 utapata 17. hiyo moja ulioitoa ijumlishe na moja ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…