JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana nilikua nimekaa barazani nasoma novel akapita Dada mmoja mrembo nikaamua kumuita akadai anaharaka kunamgeni anamuwahi, basi nikamuomba namba ya simu akanipa kwa shingo upande baada ya kuona...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
habarizamchanawanajamiiforumminipokazininaskiausingizindomaananimeamuakuingiahumujamvininiondoeusingizikwanzakwakupostkituchochoteilanaamininanyiemnavyovingivyakupostihumujamviniiliisionekanenipope...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Rais Museveni wakati anahutubia kongamano la vijana kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya AU (African Union) aliuliza, hivi suala la mtu kujinasibu kwa ujana ni suala la umri pekee. Kwamba mimi nina...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi. Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali? Mlevi mmoja akauliza 'Je Kuna Marehemu yeyote aliyewahi kutoroka'? Kama hakuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty CD! Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nmecmama kuepuka kelele za godoro pale nnapo jigeuza, na wakat...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Babu kanifundisha kuwa,nikitaka kumpata msichana mzuri na uziri wake utakaodumu muda mrefu zaidi lazima nijue kutambua msichana mzuri bila kuingia mkenge. Kaniambia nikimtaka msichana LAZIMA...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Konda alikuwa kakasirika sana, abiria alikuwa kagoma kulipa nauli akisisitiza eti yeye ni denti, wakati kila mtu alimuona ni mtu mzima, konda akamkunja jamaa, wakapigana sana, abiria alipoona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono? ndo adabu ama? sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
utakuta kwenye familia nyingi zakibongo mtu akiwa na pesa anathaminiwa sanaa ata akiwa mdogo kwenye familia lakini ambaye ana yaani full kupuuzwa hivi kwa hali hii tunaelekea wapi ba ndugu:welcome:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanadamu wamejaliwa majina mengi mengine mabaya mengine mazuri mangine ya kuchekesha mengine ya kuhuzunisha mengine ya kushangaza mengine ya kustaajabisha. Vivyo hivyo Katika Jamii ya wana JF kuna...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Hodi bandugu, Nilipotea kidogo baada ya kufichwa huko juu milima ya upare. Maisha ya huko asikusimulie mtu, hata vocha ni mpaka usubiri watu waende mjini kupeleka tangawizi wakirudi ndio wariudi...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
kuna post yangu ya mwaka jana ilibuma,vipi niirudie au? Nalog off
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
699 Views
FACT: Men have an average 13 erections per day.
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza. Swali 1. Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda kula. (1% mark) Wanaume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Licha ya kuupenda wimbo kwenue hii video huwa napenda kumtizama huyo mdada, on my eyes she is cute amenifanya nifikiri kwa nini wazungu wanapenda english figure. Kama ukiipenda burudika...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
KWA HISANI YA TANMO Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Mimi chit chat siipendi............ Paw, Fang, Cookie, mods wote.............Mi siipendi Chit chat. Chit chat ni Majanga tu................Say No to Chit Chat
6 Reactions
138 Replies
8K Views
Mke mwemwa hutoka kwa mungu mme mwema hutoka benki
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom