Niko njia panda mm nikijana ambae ninae ndugu wa kike (binam) baada ya kauli za mitego za mda mrefu ame amua kufunguka na kuweka wazi kuwa asinge penda kuona nina oa mke zaidi yake na kua yeye ame...
Habari zenu waungwana!
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini?
Nikimwambia basi kila mtu aangalie...
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dk Shukuru Kawambwa akifafanua jambo wakati akizindua wa utekelezaji wa mikakati ya "Matokeo makubwa Sasa" ambapo kwa kingereza unaitwa "Big Result now"...
IMLA
Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza.
Swali la 1.
Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda...
UMEIPATA hii, msukuma 'wa' MWANZA alienda DAR kwa kaka yake kumtembelea!! alipofika alimckia KAKA yake akimwita mkewake, "DARLNG" basi na yeye aliporudi MWANZA akawa anamwita mkewake...
Vichaa wawili walipanga mkakati wa kutoroka kutoka hospitali ya vichaa Mirembe.
Mpango wao ulikuwa kwamba asubuhi ya siku inayofuata waende getini wamvamie mlinzi wampige wafungue geti watoroke...
Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1.Umeshika simu yako ya mkononi.
2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba.
3.Wewe ni binadamu hai kabisa.
4.Huna jeuri ya kusema neno...
Jana nilikuwa msibani wadau... huu msiba jamaa alikunywa sumu.... sasa kabla hawajamzika ndo waktangaza kama kuna anayemdai marehemu aje wamlipe.
Kuna jamaa mmoja alijitokeza na kudai kuwa sumu...
Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake, siku moja alinishangaza sana, MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote, CHAKUSHANGAZA, Mdai ashakumu simatusi, unagongwa...
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.
Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua...
Siku moja mtoto Alichukua Passport ya mama yake na Kuisoma Akaona
Name : AMINA,
Place : BUKOBA,
Birth : 1979,
Sex : F,
MTOTO Akamwambia, "MAMA Hauko Serious, Kwenye Sex Una F, MSHUA atakutema...
Hi wapendwa mwenzenu hii simu inanichosha sasa.
Nina iphone3g nashindwa kudawnload kwasababu sina apple id nimejaribu kufungua kwakutumia hii simu nashindwa kwasababu KWENYE billing hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.