Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono? ndo adabu ama? sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo? kwema?
kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ? au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?
kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ? au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?