Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
pata picha unampa mkono mwanachama wa CHAPUTA
...hao unaokataa kuwapa mkono leo,kesho ndo watakao libeba jeneza lako kwa hiyo mikono unayoikataa leo..."TAFAKARI"...
Kupeana mikono ni jambo la kiungwana, hasa waungwana wanapokutana. waungwa wakitofautiana, humaliza tofauti zao kwa kupeana mikono, hata timu za mpira wa miguu husalimiana kwa kupeana mikono. kama mtu unaogopa kupeana mkono na mtu mwenzio, kwa kuogopa maambukizo, je yale ya kwanjia hewa? Usije zani kupeana mikono ni tabia ya wasiotaarabika, hata waliostarabika husalimiana kwa kupeana mikono.
pata picha unampa mkono mwanachama wa CHAPUTA
Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?
Mbona umeingia kishari nami nimeongelea nafsi yangu?i cant be you and you cant be me..kuna maudhi ambayo unaweza ukayapata while mi yasinisumbue kabisa..binadamu hatuko sawa
Mbona umeingia kishari nami nimeongelea nafsi yangu?i cant be you and you cant be me..kuna maudhi ambayo unaweza ukayapata while mi yasinisumbue kabisa..binadamu hatuko sawa
Bwana YESU asifiwe sana.
Hizi shule za kusomea chini ya mti ni hatari sana.
Kwa lipi
Wanawake wengi hasa wa dini ileee ya uninja ndio hawapendi hii kitu.
Vitu vingi ambavyo vilikuwa ni tamaduni zetu zinazidi kupotea, na tunakaribisha new customs sawa tu lakini