Nachukia kusalimiwa kwa kushikwa mikono!!!shaking hands

Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?

Natamani kukuona phsically!! Usijali unaweza weka mikono mfukoni ili mtu asisogeze wa kwake, ila sisi kanisani kwetu baada ya Ibada maombi hupeana mikono, karibu kanisani kwetu.
 
Mtoa mada na wale aina ya watu ambao wameenda shule lakini hawajaelimika !

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?

Cheki ni watu wangapi wanaokubaliana nawewe na ni wangapi wanaopaingana nawe. Kisha ukiona wangi wanakubaliana nawe tambua kuwa kuna point kwenye ulicholeta hapa JF na ukiona wengi hawakubaliani nawe, tambua kuwa umeleta issue isiyokuwa na tija hapa JF.

Binafsi sioni kama kuna point yoyote katika hilo. Uzuzu wako na ulimbukeni ndio vinafanya kichwani kuchemke na kuibuka na hoja za ajabu!!
 
Na kwa hapa Tanzania kulivyokuwapo na upungufu wa MAJI, kupeana mikono kunaeneza sana magonjwa!
 
Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?

kwa wewe na wa-type yako solution yenu ni kuvaa gloves.
 
Mtoa mada bila shaka ni wa kike, handshake ni upendo tu hakuna jingine kama hutaki unawaambia au vaa gloves,
Unajiona msaafi.
 
Sasa kama ulikuwa hutaki uambiwe ukweli umeleta hoja ya nini?si ungewaambia hao wanaokupa mkono in person kama hupendi kupeana mikono?hizi ni tamaduni na ustaarabu wetu waswahili kama wewe una ustaaarabu wenu wa "mambo vipi,shwari "huku mkipeana ishara ya dole gumba au ngumi kivyako ,lakiniukikutana na mpwanipwani mie nitakupa mkono ukijihashua nakuwasha kibao ukahashukwe mbele ya safari!
MMh kama nakuona vile
 
Cheki ni watu wangapi wanaokubaliana nawewe na ni wangapi wanaopaingana nawe. Kisha ukiona wangi wanakubaliana nawe tambua kuwa kuna point kwenye ulicholeta hapa JF na ukiona wengi hawakubaliani nawe, tambua kuwa umeleta issue isiyokuwa na tija hapa JF.

Binafsi sioni kama kuna point yoyote katika hilo. Uzuzu wako na ulimbukeni ndio vinafanya kichwani kuchemke na kuibuka na hoja za ajabu!!

Ni kweli ni ya ajabu ndo maana ukaingia kuchangia wewe ambaye si limbukeni na usiye zuzu
 
Mtoa mada na wale aina ya watu ambao wameenda shule lakini hawajaelimika !

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ni kweli sijaelimika but siwezi kulumbana nawe as hata ukiicheki maneno yako ya chini umeandika katika lugha ambayo ulikuwa unakimbia sana IMLA ama dictation Kuku hata akuwe vipi achinjwi kwa panga
 
Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?
Kwanza wengine hasa wanaume hupenda kujisaidia haja ndogo hovyo njiani na wanapojisaidia hushikilia "mi-dushelele" yao kwa mikono na hawanawi mikono ng'oo..kwakweli mjirekebishe mnatuboa sn na nyie wanaume ndio mnaoongoza kwa kupenda salamu za ku-shake hands, LOL!!
 
Sasa kama ulikuwa hutaki uambiwe ukweli umeleta hoja ya nini?si ungewaambia hao wanaokupa mkono in person kama hupendi kupeana mikono?hizi ni tamaduni na ustaarabu wetu waswahili kama wewe una ustaaarabu wenu wa "mambo vipi,shwari "huku mkipeana ishara ya dole gumba au ngumi kivyako ,lakiniukikutana na mpwanipwani mie nitakupa mkono ukijihashua nakuwasha kibao ukahashukwe mbele ya safari!
Upo sahihi kabisa, ni kawaida dunia nzima except kwa wale ambao wanaojisikia, kujiona bora na wasafi sana,
 
Kwanza wengine hasa wanaume hupenda kujisaidia haja ndogo hovyo njiani na wanapojisaidia hushikilia "mi-dushelele" yao kwa mikono na hawanawi mikono ng'oo..kwakweli mjirekebishe mnatuboa sn na nyie wanaume ndio mnaoongoza kwa kupenda salamu za ku-shake hands, LOL!!

Mbona ukiwa unanyonya dushelele haulalamiki?unaiona safiiiiii
 
Sijaona ushari wa post ya life is Short ! Unapoanzisha thread si lazima watu wote wakubaliane na hoja yako, kama suala ni la nafsi yako sioni hata umuhimu wa kulileta hapa, kitendo cha wewe kupost hapa obviously unahitaji kusikia wengine wanasemaje! KWANI KUNA MTU ANAKULAZIMISHA KUKUSHIKA MKONO?..TELL THEM IN THE FACE KWAMBA "SIHITAJI MKONO WAKO" Hakuna mtu atakusumbua tena na kijimkono chake, sasa wewe kuleta thread JF kisa watu wanakusalimia kwa kukushika mkono hauoni kuwa ni kitu low sana! Binafsi huwa sinyooshi mkono kumuanza mtu, labda kama ni jamaa yangu wa karibu hatujaonana siku kadhaa, au tushikane mikono kuonesha kukubaliana jambo la msingi! Lakini mtu akinipa mkono siwezi kuuukataa na kujifanya eti naenda koridoni kula kashata, kwani hivyo vtasa utavifungua kwa kutumia matakoo?
Swadakta !!, Mkuu na kupongeza kwa "dhati "
 
Kwanza wengine hasa wanaume hupenda kujisaidia haja ndogo hovyo njiani na wanapojisaidia hushikilia "mi-dushelele" yao kwa mikono na hawanawi mikono ng'oo..kwakweli mjirekebishe mnatuboa sn na nyie wanaume ndio mnaoongoza kwa kupenda salamu za ku-shake hands, LOL!!

hayo madushelele si ndo huwa mnayaingiza katika midogo yenu
 
Mtoa mada na wale aina ya watu ambao wameenda shule lakini hawajaelimika !

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

wewe ndiye niliyekuelewa zaidi, kuliko huyu mtoa mada 😀.Nalog off
 
Kwanza wengine hasa wanaume hupenda kujisaidia haja ndogo hovyo njiani na wanapojisaidia hushikilia "mi-dushelele" yao kwa mikono na hawanawi mikono ng'oo..kwakweli mjirekebishe mnatuboa sn na nyie wanaume ndio mnaoongoza kwa kupenda salamu za ku-shake hands, LOL!!

Hivi kati ya dushelele na vitu mnavyoshika nyie wanawake ni kipi kichafu zaidi? Dushelele zenyewe hizo ungekuwa unaztia mdomoni dada Tigga ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom