Nimekuwa nikifuatilia sana jinsi huko mikoani wana JF walivyo na umoja wao kama vile Mza, Arusha, Tanga na kwingineko, ila kwa hapa Bongo naona kama kutambuliana ni kwa baadhi ya vigenge fulani tu...
22/12/2005 SIKU YA KWANZA KWA MH KIKWETE KUWA KAZINI KAMA RAIS. NA KUANZIA HAPO ARSENAL HAWAJAPATA TENA KOMBE JE KUNA UHUSIANO? HAHAHAHAH
Dah noma
CC: watu8, Rockcity native, taamu, Joss...
A friend is someone who understands your past, believes in your future, and accepts you just the way you are even if you are getting older. Happy birthday Rock City
C.C: Mlezi wa wing...
Ebwana kuna siku nilikua mualikwa katika kundi la matasha kama 30 hv. Nikaona nitafute jambo ambalo litawapima ubaguzi wao hawa majamaa.
Nikatafuta soksi zangu ambazo sikufua kwa muda mrefu...
Jamani wana jf,hili suala nililifurahia sana nilivo sikia neno haki sawa kwa wote(kwenye familia).lakini inapofika sehemu ya shekeli hiyo haki sawa inapotea gafla,tatizo lipo wapi?
Hivi hawa watani zangu watu wa Kilimanjaro na baadhi ya watu wa Kagera hawajui matumizi ya simu, mimi siamini hata kidogo kama hawajui matumizi ya simu kwa sababu ni watu wanaojua maendeleo na...
Mangi alipokufa aliulizwa na
MALAIKA:kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. unapenda uende wapi?
MANGI: Nitabaki katikati ya peponi na Jehanam
MALAIKA:Kwanini?
MANGI:nikifungua duka hapo wote...
Jamani mwenye bodaboda na anatafuta dereva naomba anidip,hizi njemba zinafaidi mwanawane,embu fikiria nimembeba Chocs mwenge posta halafu hivyo vinyonyo vyake saa sita vinanichomachoma...
Je?
Umewahi kuwashukuru watu kwa mambo madogomadogo wayafanyayo kwako?
Nathubutu kusema asiye shukuru watu , hata Mungu hatomshukuru! Inshot asiye shukuru ni Mshenzi .
Hebu fikiri watu...