JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii ilitokea katika daladala litokalo posta kwenda ubungo, kondakta kauliza ''manzese hapo kuna mtu anashuka?'' Dada m1 akajibu ''Tuna mitandio''. Konda kauchuna, kufika ubungo maziwa yule dada...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Waungwana tangu nije dar nimepata ugonjwa wa ajabu tadadhali waelewa naombeni msaada
0 Reactions
83 Replies
6K Views
Umofia Kwenu, Hv hz plate no za rangi ya kijani au blue wanatoa kwa mtu yeyote au ofisi za kibalozi? Maana kuna moja V8 nyeusi inapita hapa kunduchi mtongani nimeshindwa kuielewa ni ya nchi gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa tuko safarini kutoka Songea kuelekea Dar ndani ya Mbeya express. Tunaomba sala na dua zenu tufike salama.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani Mnakumbuka huyu Dada? Enjoy your friday
2 Reactions
140 Replies
10K Views
Usiku wa leo,wa tarehe 14,siku ya jumapili kuelekea jumatatu. Nilipata maono katika ndoto. Niliona mji mmoja ambapo watu walikuwa wakisherehekea ama wakiburudika katika hoteli pembeni ya...
11 Reactions
107 Replies
15K Views
What d'u miss back in days? As for me Gone are the days when I could hang out with my friends freely without worrying about time but know I can't even hang 3hours without wife calling to check one...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
eti bingwa wa ngumi kutoka marekani aliyekuja kushindania ubingwa wa dunia na f.cheka kumbe kinyozi marekani. teh teh teh.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Teacher: What is the chemical formula of water? Students: H,I,J,K,L,M,N, O. Teacher: What rubbish is that? Students: Sir! You said the chemical formula for water is H to O yesterday.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madenge baada ya kufaulu mtihani wa Form Four akaambiwa achague zawadi yoyote aipendayo, Madenge: nataka posa nikamuoe bibi maana ni siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake, Baba Madenge...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
.. ..... ...... if you are smiling while texting.. It means you have a boyfriend or Girlfriend!!!!! Agree???
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamvin muhali gani? Mi mzima ila jaman sina usingizi kabisaaa yan leo mchana melala kweli sa sielew sahii nafanyaje na ivi hapa hakuna single boy loooh ntakoma mbona.. Basi atawenye wake mkuje na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Spika wa bunge chitchat Madame B mkuu wa protokali chitchat manoah mwenyekiti wa cc mahusiano Baba V rais wa shirikisho la chitchat nchini Arushaone na waheshimiwa wengine, napenda...
6 Reactions
329 Replies
16K Views
MLEVI mmoja aliwaambia wenzake 'Jamani nina wasiwasi, nahisi mimi ni Mungu'. Wakamuuliza kwa nini unahisi hivyo? Akajibu! Jana ile kufika nyumbani tu mke wangu akasema MUNGU WANGU, umelewa...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Jenga picha wewe ndo Raisi wa Syria halafu Obama ndo kasema anakuja kukupiga! Hivi unajiandaa na nini..!?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
----- wewe!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ushawakuta wale wajamaa wanaotumaga mesej huku wanaendesha magari? Basi hawa mbulula hawako huku tu, cheki video ya mbulula aliyesababisha ajali kutokana na Samsung Galaxy yake. Utata ninao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Lau kama isingekuwa, ugunduzi wa zana za kutumia kwenye kilambio, hakika siku hii ingebaki tu kuwa historia kama vile tumkumbukavyo Mfalme SOBHUZA, baba yake Mfalme Mswati wa kule Swaziland...
25 Reactions
189 Replies
18K Views
Hatimaye kile chama cha wenye MIKONO SWETA aka GOVINDER kimeipongeza kampuni moja simu (JINA KAPUNI) kwa kuwasaidia kutangaza kampeni ambayo ni against ile ya DONDOSHA MKONO SWETA,akiongea na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tufanye mbinu zipi ili tufanikiwe kukitoa chama cha MAGAMBA madarakani? Nasema iv sababu naona kila sababu ya kushindwa inatunyemelea. (1)tumetaka katiba ibadilike na rasimu ishatolewa lakin...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…