JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mgonjwa: dokta nisaidie nna tatizo la kusahausahau dokta: sawa, hilo tatizo limeanza lini? mgonjwa: tatizo gani?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Dating Tanzania - You can easily find local singles, dating partners, womens, girls, mans, new friends, singles from all over the world and Tanzania
0 Reactions
26 Replies
8K Views
hivi mwanaume wa kabila la kijaluo kuoa m2 na dada ake na sahihi??? ebu sema chochote juu yao
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari ndugu zangu, naelekea kwa watani [wagogo] ila naomba nijue kabisa, kuna JF dodoma wing? kama ipo, ndio napiga hodi ila nikikuta ni wagogo watupu, ntamtuma hausigeli aniwakilishe...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Miaka kadhaa iliyopita rafiki yangu alitaka kukatisha maisha kisa hali ngumu. Hakuwa na fedha, hakupata wa kumsaidia. Alitengwa na familia. Kikubwa alijiepusha na madawa ya kulevya. Leo hii ni mtu...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Jamaa kapoteza mali zoote na akawa masikini wa kutupwa sababu ya ulevi, siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia. Akashika ya kwanza, akaipasua, kwa sababu yako nimeachana na mke...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mie naishi mjini ! Na mjini ndiyo tunakojifunza ama kusikia mengi kuliko kule mashinani (vijijini). Miongoni mwa ninayoyasikia sana yakisemwa ni pamoja na hili, kwamba -; "Eti za kizungu ni za...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Hope mko poa niwataki kila la kheri kwa wale ambao ni wagonjwa nawaombea wapate nafuu warudi ktk mihangaiko ya kila siku Mungu awabariki sana
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Nakuuliza wewe mwana Chit-Chat. Hivi ulijisikiaje siku unajiandaa kwenda Dar,vp usingizi siku hiyo uliupata?vipi ulikula kweli siku hiyo?mavazi jee uliyo lipuka nayo kuingilia jijini? Wapi/Nini...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
wakuu naomba kuuliza hili swali ivi hawa wa Moshi wanaweza kweli football? sijawahi kusikia '....anakwenda pale masawe.....masawe anampa shirima......tittu....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu mkokotaoaji naona na visasi na mama na dada zetu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mke kasikia mumewe ambaye alikuwa safari akigonga mlango wa nyumba yao afunguliwe, naye alikuwa na bwana mbaya zaidi walikuwa wanaishi ghorofa ya kumi na nne, mdada mwasherati akamwambia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi? Binti: Hapana. Sina mpenzi. Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."...
17 Reactions
46 Replies
32K Views
Jamaa alikutana na simba porini, kwa woga akapiga magoti akafumba macho akasali, alipofumbua macho akakuta simba amepiga magoti anasali, jamaa akauliza "na wewe kumbe una dini? simba akajibu "wewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanaJF hizi ni hisia zangu juu ya huyu mtoto Elizabeth Michael" LULU" My lv iz brilliant, my lv iz Pure!! Siku zote nionapo picha yake, nisikiapo jina lake moyo wangu hupatwa na mshitiko mkubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siju kama ni kweli? Sijafanya utafiti. Aliyefanya utafiti atuthibitishie ukweli wa madai haya.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umeitwa shaurini juu ya kadhia ya familia hii. Baba amehonga mtaji wote wa familia. Mama amepigwa mimba na fundi charahani aliepanga ubaraza wa kushonea mbele ya nyumba ya familia. Kijana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…