Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Mie naishi mjini ! Na mjini ndiyo tunakojifunza ama kusikia mengi kuliko kule mashinani (vijijini).
Miongoni mwa ninayoyasikia sana yakisemwa ni pamoja na hili, kwamba -;
"Eti za kizungu ni za baridi na zimepooza , na zenye uasilia wa Kiafrica ni za motomoto na uvuguvugu kwa sana"
Personally utafiti huu, sijaufanya coz sijabahatika kukula ya kizungu na wala sinao mshawasha kua kuna siku ntakula, kwani natoshwa vyema na huyu black nilienae already.
Mwenye aliyewahi kukula both sides si vibaya akatupa ithibati ya hili.
Ili kama si kweli , ile methali "Lisemwalo lipo.." ni idiliti kichwani mwangu.
Kiulizwacho hapa ni kwa gender zote, wadada watajielekeza kunakowahusu, na wakaka kwa upande wao.
Naomba kutoa hoja!