Kwa hiyo ndo kusema unan'funga gav'ana?
Yaani umekatiza mdahalo patamu! Sijui ni chale-jecha!
Ungeriplai tu! My last quiz, ilikua umedumbu kunako kumi namnana !
Mtihani hapa hakunaga Mamndenyi ! Haitatokea siku nikakwarika mtandaoni !
Songesha story.
Twende zetu na za moto au za baridi,
nasikiaga hata kwa sie wabongo huwa kuna
za hivyo
kwa huo ujanja wako
sema neno kuhusu hilo.
Duuh!
Niseme neno! Au nitie neno !
Iko hivi, huwezi recognize BIG if SMALL haipo!
Huwezi jua Usiku ikiwa mchana haupo n.k n.k .
So far mi nilishadiklea sijawahi kukula both, bt due my imagenation nahisi the difference of taste itakuwepo. Pia Note - hata huu upande mmoja niulao pia kuna different tastes from one woman to another!
Hujawahi hiyo nyeupe tu ? Au hata nyeusi?