Naomba nichukue frusa hii kuwambia lei jioni kutakuwa na birthday party kwa My luv Nivea pale kwenye viunga vyetu naomba mfike kwa ajiri yakumpongeza mnaalikwa itakuwa ni cocktail party Karibuni...
Babu na bibi walienda shamba,babu alikuwa kipofu,bibi akapanda mnazini,kumbe alikuwa hajavaa nuo ya ndani,kwa bahati mbaya akaanguka,babu akamshika sehemu akijua ni mdomo,akamwambia meno yote...
Anna: Mwalimu Mama
yangu ana miaka 40,
Anaweza kupata mimba?
Mwalimu: Hawezi..
Anna: Dadangu ana Miaka
18, je Yeye?
Mwalimu:Anaweza ..
Anna: Mimi je? Nina miaka
8.
Mwalimu: Wee bado...
Kama kuna mwanaJF anayebadili avatar yake mara nyingi zaidi ya wote huyo atakuwa Boflo. Mwezi wa tano ulipoanza, alikuwa na avatar hii: Hii hakukaa nayo muda mrefu, akaja na hii: Nayo hii...
Ni miaka minne sasa imepita tangu aliyekuwa mkali wa muziki wa pop duniani Michael Jackson kututoka. Katika muda huo, mashabiki wake wamejifunza namna ambavyo mwanamuziki huyo nguli alivyopitia...
Ninyi hata kuugua hamuugui japo mje kutibiwa murgwanza hospital niwe nakuja kuwatembelea? Mkididili nouma kweli maana kuna vumbi ya kufa mtu ni hatari sana
"Sitamuibia Mwalimu tena" Ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya Mwalimu na kukuta yafuatayo:-
1. Majina ya wapiga kelele darasani
2. Majina ya waliochelewa namba
3. Majina ya...
TICHA: Ukikutana na simba utafanya nini?
DENTI: mi takimbia nikapande kwa muti.
TICHA: Na simba akikupandia hapo juu ya mti?
DENTI: mi tajirusa chini nikimbie kwa mto niogelee...
kunaa jamaa alifungwa miaka saba kwa kosa la wizii wa mamilion ya mapesa alioiba sasa kapokea baruwa kutoka kwa baba ake >
mwanangu umri wangu mkubwa niko mgonjwa na msimuu wa kulima umefika lau...
Dah nimekuwa frustrated sana,furaha yangu ya birthday imeisha officially leo simu yangu kipenzi sony xperia imeibiwa na vijiwezi uchwara,wameniibia dirishani usiku,dah am out of words ila...