JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Amri kumi kwa wapenda ofa ya bia !!!! 1.Muheshimu anayekununulia bia 2.Muamkie mtoa ofa kabla ya kukaa kitini 3Uwe ndie mchekeshaji wa kikao,lakini usimkatishe mazungumzo anayetoa ofaa 4.Daima...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha ukitaka kunzodoa...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimekuwa nikimuona Rais wa marekani akiwa na mwanae wa kike aitwae Sasha, kiukweli si kwamba mtoto yule ni mzuri tu bali anastahili kabisa kuwa mke wangu. Kinachonisumbua ni wapi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dogo alipanda basi akakaa karibu na dereva.Akaanza kupayuka'baba angekuwa dume na mama jike la ng'ombe ningekuwa kadume kadogo.Dereva akaanza kukerwa na kelele zake.Akaendelea,''baba angekuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dear Ms. ABC, Baby, I 'v seen you yesterday while surfing on local train platform and realised that you are the only site I was browsing for. For long time, I 'v been lonely, trying to find a bug...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
..................................................................
0 Reactions
6 Replies
2K Views
dogo mmoja anasoma darasa la tatu. [dogo:]mwalimu mimi nataka kusoma darasa la nne maake hili la tatu halinifai,nina akili sana [mwalimu:]mmh hebu nikuulize maswali [dogo:]sawa [mwalimu:]kweny e...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
jamani Kipaji Halisi embu njoo jamani si unajua Mtambuzi yupo makalio bar na Arushaone na Preta. Swahiba Paloma dah hapatikani pole sana kwa msiba wa mama Madame B kakamatia pedeshee na simu...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
mzee mmoja aliamua kwenda kununuwa robot ambalo mtu akisema uongo linampiga kibao akalileta nyumbani kwake kwa mkewe na mwanawe sasa katika kulifanyia jaribio akamwita mtoto wake ,akamuuliza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za asbh wana jf,leo tarehe 21 mwezi wa 6 ni birthday yangu natimiza miaka kadhaa(24-28),mungu anijaalie maisha marefu yenye amani, upendo na furaha,mapenzi tele jamani kwa wana jf woote...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kielezavyo kichwa cha habari hii naomba msitulaumu wa baba wa chit chat!kwani babayetu ni mmoja ambaye ni Invisible hivyo hata tabia tunafanana tunapishana padogo kama sehemu ya mtoto anapoanza...
7 Reactions
112 Replies
6K Views
Kwamba, Kuna kizazi kiko maeneo ya Mkoa wa Mara mpaka huko Kenya, Piga ua hakipati UKIMWI. Kazi kwenu kuki locate.
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna jipya jamani?
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Hii guys.....natafuta mwenza wa humu ndani mie sio mwenyeji sana.. Mie ni binti mrembo tuu kutokea Rchuga... Vigezo na masharti kuzingatiwa.
4 Reactions
205 Replies
11K Views
A nude guy was sunbathing at the beach. a little girl comes to him, he covers his private parts with a newspaper. The little girl says, 'Whats under there?' So the man answers , 'A bird'...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mchana wanajamii, kuna rafiki yangu kapata mchumba wa kike MKEREWE, hangependa kupewa hints kuhusu tabia zao. Pamoja na sifa zao ikiwemo kuhusu mapenzi.
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nilikuwa na mpango wa kuomba undugu kwa familia hii ya Baba V lakini huu mkwara umenikimbiza........
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Yes you can! Niko naangalia big brother yaani sioni mdada wa kunivutia hata mmoja....kusema kweli next edition Mamndenyi jitose utashinda! Hasa ukizingatia..........
5 Reactions
242 Replies
12K Views
....................Habari zenu WANA cc WOTE. ........Mwenzenu nimeamua kujivisha UTANGANYIKA na KUJIVUA UTANZANIA Kuanzia leo ..... ntajitambulisha kwa UTANGANYIKA wangu na si...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom