nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka...
Dah..!! Nishauza mazao na ninavibunda vya wekundu kwenye mfuko wa Jacket. Nakwenda dar kununua suit na 4angle za kutafunia bata nikirudi bara, pia natakaninunue radio na baisikeli huyooooo...
Kwa wale wateja wanaopata menyu mchana hapa Port View Pub kwenye mzunguko wa kuelekea Bandarini, mmeona wapo mabinti wameajiriwa kujifungua nguo? Wanaweka mapaja nje na kuwaangalia wateja...
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya akamwambia dereva wake ampeleke JKI airport, akiwa njiani maeneo ya TAZARA akakumbuka kuna document ameisahau nyumbani akaamuru dereva ageuze gari. Alipofika...
Mzee mmoja alikuwa anaumwa Maralia, ikabidi aende Hospital kupima. Alipofika, Nesi akamchoma sindano kwenye kidole cha kati, lakini akashaangaa kuona damu haitoki, ikabidi aanze kunyonya kidole...
Mzee mmoja alipanda basi kuelekea kwao Moshi kutokea Dar. Wakati wamepita Kibaha binti fulani aliyekaa jirani naye akapokea simu akamjibu mpiga simu kuwa anaelekea Iringa kwenye msiba, kabla...
hivi mnataka mpewe vidonge gani ndiyo mtambue kuwa mie nimekufa nakujiozea kwa Mamndenyi ?shukuran pekee kwa mweto Mwita Maranya kwa kuniachia kijiti nami nikisongeshe mbele,
ifahamike kuwa mimi...
Hii nimeisoma kwa Masanja Mkandamizaji..... nikacheeka sana
Mapenzi ya mtandaoni:
mnaanza uhusiano, mnakosana, mnapatana, mnakosana, mnaachana na hata hamjawahi KUONANA!
Ngoja ukute ni ZOMBI!
Nimepata mchumba msichana wangu kabila lake ni mmeru wa arusha natarajia kumuoa mwakani wakati kama huu ila cjui asili yao na tabia zao za asili naomba mwenye uelewa anijuze tafadhali
WATOTO WA KISHUA SECONDARY
SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.
MAELEKEZO.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv...
amaa aliamua kumtoa dem wake aut kwaajili ya
chakula cha usiku kufika hotelin wakakaa mezan
muhudum akaja, kaka nikuhudumie nin,
tafadhal :NILETEE MENU LISTI: dada na wewe,
dada ajibu kwa pozi...
Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi...
Wapendwa wana chitchat naomba mshirikiane nami kumtakia safari njema na
kuiombea familia ya kipenzi changu Mr kiwatengu kwa matatizo waliyoyapata.
Mungu awasafirishe salama na kuwapa nguvu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.