Salaam wana wote,
Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua.
Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.
Baadhi ya wakazi wa jiji wakimuangalia mtu ambaye hakufahamika jina aliyekuwa akitafuta kiatu kilichotumbukia katika mfereji wa majitaka, kama alivyokutwa Ubungo, Dar es Salaam juzi.
yaan hapa mchina hajaona tu, ila tuwe makini coz akijuia tu kuna raia tunanyanyaswa hivi na kuwauzia bunduki hali itakuwaje........... kwa sasa ar ni soko zuri sana la siraha.... hawa policcm...
ili uwe mwema mbele ya mungu na jamii yako jaribu kujiuliza kwanza kabla ya kutenda,ikiwa nitafanya jambo nani atakae pata effect,? Na kama ningefanyiwa mimi ningeumia kiasi gani.
Jamaa1 alikuwa amekaa KANISANI siti ya mwisho kabisa,ila pembeni yake kulikuwa
Kuna demu amekaa•Jamaa akaanza kutongoza dem huku mahubiri yakiendelea~
Mambo yalikuwa hiv=
Jamaa=Nakupenda...
Nimetoa jibu kwa familia yangu ya karibu No No No! Wananishauri eti nijiunge nalo.
Ninanjaa lakini siwezi kwenda kujidharaulisha kiasi hiki. Jeshi limekuwa Condom, jeshi gani hili la majimaji au...
XXX majuzi alikuwa nyumbani kwao. Katika pita pita akakutana na Mmakonde mmoja aliyekuwa anauza vinyago. Alivutiwa sana na kinyago kimoja kilichokuwa kinafanana na panya. Kilichongwa kwa ustadi...
Embu tujikumbushe kidogo kila mtu aseme mara ya mwisho alipigana lini na chanzo cha ugomvi kilikuwa nin?
Mie mara ya mwisho nimepigana 1997 nilivyokuwa std 2.Chanzo cha ugomvi jamaa...
kunguru ndege mjanja hafugiki asilani,
hata ukimpa chakula hatotulia nyumbani,
amezowea mizoga inayotupwa jaani,
nilikudhania ndege unaefugika tunduni,
nikakupa cheo na taadhima pamoja na...
Kuna mzungu mmoja alikuja nchini kikazi,sasa ili japo awe anapiga story na mswahili ikampasa kuanza kujifunza kiswahili.
Baada ya mafunzo mafupi akakalili maneno matatu katika...
mohamed Mtoi ahsante sana hii kumbukumbu haitasahaulika miaka dahali umenizikia dada yangu.
YNNAH your special my dia from lushoto to mabawa hii sitaisahau.
arabella thanx mamii Mungu...
Baada ya mazishi ya jamaa mmoja huko Shinyanga, mchungaji alisimama akaongea na waumini wake. Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Mchungaji: Waumini mnaombwa kutoa michango ili kujenga ukuta (uzio)...
Jamaa mmoja na rafiki yake walikuWa wanasafiri wakapita mbugani
JAMAA: Umewaona wale,ndio Simba wale
RAFIKI: Hivi kumbe wale ndo Simba ee!!!! Sasa pale KASEJA NDO YUPI?
Kuna mdada alkuw na BoyFriend mwngne so ilikutoka home kwake alikokuwa anaishi na mumewe ilibid apange dili.... ucku akacngzia anaumwa tumbo full kulia yan.... mumewe kachanganykiw na kuwasha gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.