JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ratiba yangu ya siku ya leo 1. Naenda shule ya sec. Kimandolu kupiga kura. 2. Naingia kanisani kujumuijka na wenzangu ibada ya pili kumwomba Mungu leo mabomu yawalipukie wao wenyewe. 3.Kurudi eneo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dogo;Et mjomba Dunia inapolzunguka jua tunapata nn? Mjomba;Tunaweza kupata kizunguzungu au presha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Dogo;Et mjomba Dunia inapolzunguka jua tunapata nn? Mjomba;Tunaweza kupata kizunguzungu au presha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sasa likiamua kuingia na Jf me wala simo... NAJITOA KABISYAAAA. . . .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Freemason ni jamii ya siri, hakuna ajuae mambo yao yaendavyo wala hakuna freemason kimbelembele kama hawa humu jf. Na wewe mwenyewe huna sifa za kua freemason. Nibora ukajikite zaidi na mambo ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote. Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe. Umri...
7 Reactions
257 Replies
20K Views
mwee huo msala nimeushuhudia mwenyewe live hii tabia Paloma aliianza taratiibuu sasa kaipeleka mpaka mtaani wana cc msione sosoliso hasemi kwa Paloma ni haya mavitu ananusishwa hahahahahaha aione...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Wageni wa siku hizi wazuri sana,si wasumbufu kama wazamani. Wakifika kwako hawaulizi chai,juice,soda wala maji ya kunywa, Kitu cha kwanza wakifika nyumbani kwako wanauliza 'UNA CHAJI YA PINI NDOGO?'
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA. Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke. Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake. All ladies...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Mzee mmoja aliagizwa SIDIRIA na mke wake,alipofika dukani akawa amesahau size gani! Mama muuzaji akamwambia; Njoo unishike maziwa, utakumbuka ukubwa wa SIDIRIA uliyoagizwa. Mzee aliposikia hivyo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafta mke aliyetayari aje!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Itakuwa hivi: Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya". Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"...
21 Reactions
257 Replies
13K Views
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Frankly speaking ifike mahali vijana tujitambue..malengo pamoja na maisha yetu ya badae.Haya mazoea ya starehe,pombe,matendo ya kiasherati yasokua na msingi wowote ule hayatatupeleka popote..get...
1 Reactions
3 Replies
911 Views
hahahahahahaah Bishanga bwana anamlazimisha The secretary ampe maneno matamu
2 Reactions
31 Replies
2K Views
kabla sijaandika hili niliwaza na kumwomba mungu sana..... Dear God if I hurt others, give me the strength to apologise because I'm not perfect, I make mistakes. And I hurt people. But when I...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamaa 1 mwenye kigugumizi alipewa muwa na jamaa yake... Sikia ilivyokuwa!Jamaa: karibu muwa!Kigugumizi: aa...aaa..asante! La.,lala..lakini mi..mimi., si,. Siwezi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom