JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tayari malalamiko yameshaanza kutolewa kwa watu mbalimbali kuhusu maoni yao kutoingizwa kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Hivyo basi, EMT na timu yake wameamua kufanya review ya maoni yaliyotolewa na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
kapata dog dogo
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz halafu bado utaenda kanisani kuomba Mungu akutendee miujiza wakati tayari wewe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamaa katoka kanisani kufika nyumbani akamkumbatia mke wake akambusu kisha akamnyanyua juu! Mke wake kuona vile akafurah sana akamwuliza: "Mume wangu vip leo naona umeamua kunionesha upendo...
5 Reactions
34 Replies
7K Views
JAMAA MMOJA ALISAFIRI KATIKA BASI,BASI LILIPOFIKA ENEO LA MIKUMI,MTU ALIYEKAA JIRANI NA HUYO JAMAA AKAONGEA BAADA YA KUWAONA WANYAMA AINA YA SIMBA. JIRANI;Wale ndio simba. JAMAA;Aaah,kumbe wale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WATOTO WA KISHUA SECONDARYSCHOOLS.L.P 270, ARUSHA.MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.MAELEKEZO.i. Jibu maswali yote.ii. Kila swali linabeba maksi kumiiii. Zingatia mpangilio wa kazi.iv. Unaruhusiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna watu kila siku hapa kutusema wachaga, mara hajui hili mara hatujui lile, mpaka wakamwudhi Nivea, nawaambia waache, wakikaidi wapigwe tuu! Wengine kumsumbua Baba V na vi-couple vyao vya...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Mu-hali gani wana Chit chat??? Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6. Tatizo ni kwamba hata nilale...
4 Reactions
131 Replies
8K Views
swali: punda Milia ni mweusi au Mweupe..?
1 Reactions
21 Replies
3K Views
TEACHER: Student how many types of coffee does Tanzania export to europe??? STUDENT: 2 types TEACHER: Which one are they?? STUDENT: Kofi Olomide and Kofi Annan TEACHER: Very good...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zuzu m1 kapita sehemu fulani akawakuta watoto wanacheza akawadanganya; 'Nyie nendeni kule kunachakula kinagaiwa' Wale watoto wakatimua mbioooo. Zuzu akajisemea moyoni, "mbona wanakimbia sana labda...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Mlokole mmoja kaenda ugenini, kutokana na safari kuwa ndefu kafika kachoka halafu njaa imembana balaa, wenyeji kama kawaida wakamkaribisha kwa viazi bahati mbaya bado vya moto. mlokole kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania tulikupenda ivory coast wamekupenda zaidi,jina la yaya toure lienziwe! Wote tuseme..........
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katikati ya mwezi wa tano nilimlalamikia best yangu Boflo akuhimize uje home na kujitokeza JF. Boflo alisema ulikuwa unamalizia kuosha macho yako huko Bongo na ungerudi soon. Hukuja home, ila...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
daaa!! Kuna siku nilienda bech kupiga tiz nlipo fika nikamkuta dm mmja hv mkaliii nae anakimbia so 2kaungana pamja kufanyatz 2livyo malza kukimbia dem akaniomba nimfanyishe mazoez ya 2mbo..kama...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi, Here is for a good laugh, After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned the duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted...
0 Reactions
47 Replies
12K Views
Hai all mafrendo wa cc hapa kijiweni mpoje jamani shughuli, kazi, masomo yanakwendaje jamani ndo tuko nusu mwaka wa 2013 mwenzenu niko very handover na niko kamili huku nikiungurumisha stage kwa...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
ni mawazo tu kwamba kama watu wameweza kuchakachua moderm nk. watashindwa hizi kitu............... sorry ulidhani nakufundisha kuwaibia tcu? tuendeleze upatu! kama bodi ifanyavyo:A S-fire1:
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Nani kamwaga pombe yangu?
2 Reactions
81 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…