Baada ya kupotea JF kwa takriban miezi 12 nimerudi nikiwa na kazi na weledi usiopimika. Nabisha hodi naomba kukaribishwa.
Wenu,
Leroy
JF Senior Expert Member
Baada ya mlo wa jioni kwenye hotel moja maarufu mrembo mmoja wa kitongoji cha sinza akapayuka kwa sauti 'I want to speak' watu wote kimya wakamsikilliza kwamakini kumbe mwenzao alitaka kusema I...
JF nikipost namaanisha. Sina muda wa ku 'fake' licha ya kwamba nyakati nyingine nalazimika kuyaficha majina na uhalisia wa usika kwa sababu ya Privace Right.
Ila kama unaona mzee wa matukio...
Je ni sahihi kusema kuwa mtu anayefariki ameacha pengo? Naona ni kama vile tunamkufuru Mungu maana karibu kila anayefariki kwa mtazamo wangu ni kwamba amekamilisha jukumu/kusudi lake alilokusudiwa...
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
Jamaa mmoja kabila namuhifadhi kwa leo alianza kusHtukia nyendo za my wife wake; so akaona bora aanze kupiga defence; ndoa ikiwa na mwaka mmoja tu jamaa akawa na tabia ya kupiga piga simu nyumbani...
Hello kyanaKyoMuhaya,
We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today!
It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better!
Wishing you all the great...
Nakumbuka mara ya mwisho kuongea nawe ulikuwa mguu nje mguu ndani kwa manoah, Nimeskia umemtosa manoah naona ni wakati muafaka kwangu kurudisha majeshi kwa nguvu zote,...I need you..
Copy: Baba...
Binafsi nilipokuwa mtoto nilitamani sana kuwa daktari sababu ya mzunguko wa familia ulivyo ila sikwenda mbali sana nikawa nesi. Na naipenda kazi yangu vibaya mno.
ulipokuwa mtoto ulitamani kuwa...
Yaani acha tu! Maisha ni kitabu ambacho ni endless so far we r living its a must to go next page and then next chapter! Ila naamini kuna wengine wako chapter one bado while other wako chapter...
Kila mdada ninae kutana nae maeneo ya mlimani city anajifanya ana swagga za kimarekani,swagga zenyewe zko kwenye ki-inglishi,yan ukimsemesha tu utackia anakumwagia slang za kufa mtu as if tuko...
A few years after I was born, my Dad met a stranger who was new to our small town. From the beginning, Dad was fascinated with this enchanting newcomer and soon invited him to live with our...
Mama 1 kaenda kwenye kikao cha harusi. Kwa kuwa kulikua na kinywaji cha kutosha kachelewa kurudi home mpaka 6.30 usiku, kauta mume keshalala kabisa.
Mama: Hodi?
Mume akamwambia: Kalale huko huko...
hii ni english ya mwanafunzi bora wa form 4 kutoka shule mojawapo za kata TZ akimwambia MZUNGU ugumu wa kupanda mlima kilimanjaro sababu njia haijanyooka moja kwa moja "SIR! TO PLANT MOUNT...