Kiongozi mmoja wa dini fulani alikuwa akiwashauri waumini wenzake kuhusu kuzungushia wigo makaburi ya ndugu zao! Ghafula mlevi mmoja akasema mimi nna swali! Kiongozi: we uliza tu hapa...
Hii nimekutana nayo leo kwenye phone bible yangu.
Mithali 6:32-33
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala...
Jamaa mmoja aliyekuwa na mke na mtoto mmoja apatae miaka kumi alipanga chumba na sebule, sebuleni alikuwa akilala mwanae ambaye alijihusisha na shughuli ya kuuza miwa kwa sababa yeye alikataa...
Jamaa mmoja alifanyiwa upasuaji wa pumbu zake , sasa wakati dokta anaendelea na upasuaji ghafla alitokea paka na kubeba mbegu ambazo dokta aliziweka pembeni kwa ajili ya uchunguzi! Dokta kuona...
Heshima yenu wakuu.
Ni muda mrefu sijatia maguu humu CC, nilikuwa nachungulia kupitia dirishani kinachoendelea. Jana nikaingia humu ili kuondoa stress, yaliyonikuta hapo mlangoni huenda hivi sasa...
mzee kanunua simu akawa amekaa na mwanae sebuleni akiwa anatest milio ya simu aliyokua kainunua mara dingi akajamba pwii!mtoto akadakia ''Baba huo usiuweke unaharufu mbaya!!!!!:kev:
Naomba mnisaidie mahala pa kujirusha leo ijumaa!Nina ham sn ya kwenda musiki.Km unafaham jahaz,fm academia au twanga pepeta wanapiga wap leo.Nawasilisha.
"Doctor, I have an ear ache."
2000 BC - "Here, eat this root."
1000 BC - "That root is heathen, say this prayer."
1850 AD - "That prayer is superstition, drink this potion."
1940 AD - "That potion...
Mchungaji mmoja alikuwa akihubiri kanisani kama ifuatavyo!Mchungaji: mungu yu mwema mgeukie mwenzako na mwambie na umwambie mungu yu mwema!Waumini: (waligeukiana na kuambia hvyo)!Mchungaji: leo...
Nilifikir CHADEMA wakorof Bungen tu! Kumbe hata hotelin...! jana wakiwa wanakula akaanza WENJE: Mwongozo wa hotel chumvi haitoshi..! MNYIKA: Taarifa Mheshimiwa! Mchuzi unaonekana wa Jana siungi...
Ahsante kwa huruma yako ya moyo.
Mungu hapendi wizi kabisaaaa!!J'pili kuna ugeni mkubwa unakuja kwa wazazi wako saa10.30 jioni,naleta posa honey ili nikumiliki kihalali.
Najua Paw umeshampa...
NANI HASA MMILIKI WA MWANAUME, MAMA YAKE AU MKEWE? Fuatilia mabishano haya:
MAMA: Mwanangu lazima aniheshimu mimi, alinyonya maziwa yangu takriban miaka miwili.
MKEWE: Mimi ni zaidi ya miaka...
Ndugu wana CC,
Kutokana na kushamiri kwa watu kuchumbiana na kuona hapa jamvini, nami pasi hiyana napenda kuwatangazia kuwa nauza na kukodisha nguo, viatu na vikorombwezo vyote muhimu vya...
Wakati ana-ripoti kujiunga na JKT, John Mboya aliulizwa getini:
Afande: Kijana hapa ukiulizwa swali jibu unalotoa lazima umalizie kwa kusema "afande". Sawa kuruta?
Mboya: Sawa afande
Afande...