JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Sim ya kichina sio sim jamani... Sim imeanguka kidogo tu, Camera imepasuka, Redio imevunjika, Credit zote zimemwagika, Phonebook imechanika, Picha zote zimepeperuka, Na friends zangu wa FB...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani tutokapo nyumbani tuakıkıshe tuko kamili katika kila kitu sababu chochote chaweza kutokea sasa ebu angalia huyo dada aliyokochini tuseme alisahau kuvaa chupi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
haya bana thanks Elizabeth Dominic kwa suprise uliyonipa ghafla, hope salam kwa charminglady na JF wing ya RockCity mtazipata salamu, nawapenda sana ila usifikishe salamu kwa Chimbuvu
1 Reactions
9 Replies
937 Views
Cut mangor cut orange cut apple nk. but usije kukata mawasiliano na rafiki,ndugu,jamaa na wote wanaokujua..when u alive..
0 Reactions
1 Replies
677 Views
mtoto na baba yake: mtoto:kwan baba unataka kuanza tena shule ya msingi? baba:kwa nini mwanangu? mtoto:jana usiku nilisikia mama anakuniong'oneza eti mwende la pili au?sasa nashindwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MUME: "kila siku mie nakushangaa sana mara useme TV yangu, gari langu, chumbani kwangu, watoto wangu. Sisi ni mume na mke, kila kitu ni chetu, jirekebishe bwana." Mke akajifanya yupo kimyaaaa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Zembwela ni mmoja kati ya watangazaji nnaowakubali kinoma. I'm now watching uswazi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa flani Msafishaji wa Ndege aliokota kitabu kimeandika; 'JINSI YA KUPELEKA NDEGE' wakati anasafisha ndege moja. Akafungua ukurasa wa kwanza akasoma, "Ukitaka ndege iwake bofya kitufe...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
hakuna hata wa kuninunulia juisi... dar wing, ndugu yenu nipo mjini jua kaliii, mko wapi jamani
0 Reactions
4 Replies
986 Views
She comes everyday................ comesn't she? He took you to the hall.............tookun't he? They are eating each other............eatingn't they? She drives...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wanajamvi NINAWAKARIBISHA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI WA UPAKO NA MGUSO WA MUNGU KUKUTEMBELEA USIKOSE JPILI HII YA TAREHE 26/05/2013 PALE HOUSE OF PRAYERS KINONDONI MKWAJUNI KUANZIA SAA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii misemo tunagalie na mahali pa kuitumia, nesi anamwambia mama mzazi "hongera kwa kuzaa JEMBE (mtoto wa kiume)" mzazi akazimia hapo hapo kisa kuambiwa amezaa JEMBE
1 Reactions
5 Replies
2K Views
A serious drunk walked into a bar and, after staring for some time at the only woman seated at the bar, walked over to her and kissed her. She jumped up and slapped him. He immediately...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Story: Kwenye matatuu.. DADA: Samahani kaka naomba unipakate MKAKA: Usijari mrembo,njoo tu nikupakate MDADA: Haya... (dada akapakatwa)! ...Baada ya muda kidogo:- MKAKA: Wewe unaonekana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila verse ningemchana King'asti kwa vile hayupo fair, uki'PM anajibu PAW is waiting there, maskini nakonda na kidonda kwa vile una pair, Husninyo chukua password usilete drama kama Thea, lady...
6 Reactions
6 Replies
784 Views
wazo la leo, kama gari ndogo ya kukodishwa inaitwa teksi basi meli itakua meksi na ndege itakua ndeksi na treni itakua treksi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAHAHAH,teh teh
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mke wangu siyo ndugu yangu, na angekuwa ndugu yangu nisingemuoa, na sasa utaoaje ndugu yako; na ingekuwa hivyo ingekuwa ngumu hata kuchiti, hivi kweli umchiti ndugu yako? kinyume chake nihivyo...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
hv ingekuwaje kama wizara zingetolewa kulingana na makabila mfano: wakurya = ulinzi wachaga = fedha na uchumi wamasai = ufugaji wakerewe = uvuvi hebu tupia na yako nione...!
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…