Ndani ya nyumba moja hivi mtaa fulani yalisikika mazungumzo ya wanandoa wawili na mazungumzo yao yakawa kama ifuatavyo:
Mke: Eh Mume wangu naona siku hizi umekuwa msanii, haya hebu niambie...
Ni furaha iliyoje kukutana live na member mnayekutana jukwaani? charminglady Elizabeth Dominic Rock City ram Home First na mzee GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
Mtoto kakaa na baba yake mara girlfriend wake akaja
DOGO: Karibu sana vipi umefata kile kitabu chako cha SPEAK ENGLISH MY FATHER CANNOT UNDERSTAND
MSICHANA: Ndiyo nipe na kile cha WHERE CAN WE...
Ukimuona mtu anacheka ujue ana bandama linalofanya kazi vizuri otherwise hawezi kucheka. Kama wewe unabandama zima na hucheki jua una jambo limekutinga na sivinginevyo.
Kuonesha umekamilika...
Baba wa taifa j.k. Nyerere
Jina la taifa. Tanzania
Wimbo wa taifa. Mungu ibariki
Rais wa taifa j.m.kikwete
Fedha ya taifa tanzania shilingi
Siku ya taifa 26 april
Mji mkuu wa taifa Dodoma...
Husika na maneno yaliyo kwenye headin, si maneno yangu, bali ni maneno ya Kibaka-Mwizi aliyemuibia Mwl.
Pamoja na tambo zake hapa jamvini kwamba ni mkwasi , na ni mshefa vyanzo vyetu vime clarify...
1. Kwanza anaanza kuunga mkono hoja asilimia 100.
2. Baadae anaanza kutoa List ya matatizo inayopingana na hoja.
3. Tatu naonesha jazba na matusi anapokabiliwa na hoja nzito inayohitaji kufikiri...
If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST
MEN OR WOMEN!"
remember, your age mates are getting married every
Saturday. Let me ask you,
are they marrying rocks??
Wise up!
If you are...
Hili ni swali ambalo nimewasikia akina mama hapa mtaani wakibishana juu ya jibu la swali hilo. Mabishano ya akina mama hao yalianza mara tu baada ya kumsikia ndege huyo akilia jirani na nyumba zao...
My chokleti wangu Rich woman.
Tangu uniahidi tukutane pale (tulipokubaliana sisi) ndo sijakutia tena machoni, loh. Utaniua kwa presha kichuna wewe...
Hembu songi hili likufikie popote ulipo...
jamaa: habar dada?
Mdada: poa vp nikusaidie nn
jamaa: me nakupenda
mdada: aah poa kwa hiyo nikikubali utanipa nini
jamaa: na ahidi nitakua mume -----...
.......
Kuna jamaa alilala kuamka asubuhi akajikuta amenyolewa na wachawi, kwa uzembe wake usiku ulipofika tena alilala bila chupi ili anyolewe Zile nywele za sirini lkn alipoamka akuta zimenyolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.