Hati ya malalamiko na mashtaka ya FC Barcelona dhidi ya Bayern Munich
Mbele ya mahakama ya juu kabisa ya Hispania
Hata hii inaletwa kwa kuzingatia vifungu muhimu vya sheria na...
Nanjimegije u Mapolomoko ne kampuni yakwe, abhasukuma mle he?...mpyile bhule ukwimela, ilimela lyatukujaga. A bhahilya busiya,banabukwimba, ikungulyabashashi, bhanang'wanhuzi, bhanang'wagala...
Mchaga kapata ajali mbaya ya gari na kuzinduka akiwa hospitalini. Mahojiano kati yake na Nesi:-
Mchaga; kwanini nipo hospitali?
Nesi; Pole sana ni kwamba ulipata ajali mbaya sana ukiwa na gari...
Akina dada napenda mniwie radhi ila hii tabia yenu ya kuvamia fashion inanikera binafsi mimi nitataja baadhi yavitu ambavyo mmekuwa mnashobokea bila yakujigundua kuwa mnadharilishwa bila ya...
Salaam wakuu,
Karibuni The JF Rock City Wing.
Hii ni kuwaarifu wadau wote wa Mwanza na ng'ambo kuwa, tunataraji kufanya kikao chetu cha wing yetu hii mpya siku ya Jumatano 01.05.2013...
Hii barua kuna mahali nimeichukua nikaona niipost kwa page yetu ili kama una cha kuongezea ongezea kabla hatujaituma kwa muhisika..
Dear Mwl. Nyerere, Tangu uondoke hali hapa Tanzania...
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
Sijategemea mtu mwenye wadhifa mkubwa kama wewe tena katibu wa chama kikubwa kujihusisha na ujangiri wa wanyama pori...
Familia ya Bw.& Bi HISPANIA wanasikitikia kuwatangazia vifo vya watoto wao wapendwa REAL MADRID na BARCELONA vllivyotokea ktk nchi ya ujerumani siku za Jumanne na Jumatano usiku, mazishi...
....Nimekuja mara moja huku kuwasalimia tu,ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya tele.
....
...My wife natumai hujambo nipo njiani naja niandalie misosi kabisa.....nimekubebea zawadi yako...
ebanaeee kumbe jana ndo nimetimiza miaka miwili tangu nijiunge na JF, huamini?
cheki hapa chini
ndani ya miaka miwili nikaopoa kifaa cha ukweli charminglady ambae nae baada ya kurubuniwa na pesa...
Habari za kwenu ndugu zangu wanpendwa? i am back kidogo, nilikuwa nimetingwa na majukumu to the extenty kupata nafasi ya kutumiaa vyema CC ilikuwa shughuli, bado niko nayo but usiku kama hivi leo...
Ninayo furaha sana kuhingia katika ulingo huwa wa Jf chart naomba mnipokee tuwe pamoja katika kupeana ushauri,na kujaliana mambo ya msingi il kuweza kuimprove our life . ASANTE
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI.jamaa kafiwa na mkewe, waakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza,mume mfiwa akamuuliza rafiki yake,mbona huyu analia sana ni nani...
Katika vitu vilivyo pewa kipa umbele ni zakali!
*Mwanamke anapata mtoto
*Shoga anabadili sauti hadi mwendo
*Imetengenezewa condom watu wanauza wanapata pesa!
*Uwezi kuwa kiongozi wakanisa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.