Must read...
SON: "Daddy, may I ask you a question?"
DAD: "Yeah sure, what is it?"
SON: "Daddy, how much do you make an hour?"
DAD: "That's none of your business. Why do you ask such a thing?"...
SIKU MOJA RAIS WA YEMEN ALIAMUA KUFANYA ZIARA YAKE BINAFSI KWENYE JANGWA, KATIKA PITA PITA ZAKE HUKO JANGWANI AKAMUONA JAMAA MOJA AKIWA ANAVUTA GANJA AKAANZA KUMOJI MASWALI= RAIS= HIVI HUOGOPI...
Najua hili si jukwaa la kuombana urafiki, bali ni jukwaa la mijadala zaidi
Ila mimi naomba nipost hii wazo langu kwenu wakina LD, Michelle, firstlady, Dena Amsi Nirshad ,Carmell...
1.Ni neno gani la kiingereza linalopatikana kwenye button moja ya simu zenye herufi tatu tatu kwa kila button.
2. Ni button gani yenye jina mojawapo ya file extension?
Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi kupaka rangi na akamwambia fundi nataka ulipake rangi yoyote isipokuwa nyekundu, nyeusi,bluu,njano,kijani,zambarau,choklet,nyeupe na zingine nyingi aliendelea...
heshima kwenu wanajamvi,kuna kitu kinanitatiza kwenye medula yangu hivi kwa nini hizi sabuni huwa ziko nyingi sana kwenye yale maeneo yetu yale yaani kila unapoenda unakutana nazo kama vile...
Bi kidude alikwenda katika show london akafikia katika hotel ya kifahari akiwa chumbani kwake alichungulia nje akawaona watoto wa kizungu wanaogelea kwenye swimming pool naye akakumbuka mambo ya...
Kawaida katika mpira wa miguu mchezaji anapofunga mabao matatu kwenye mechi moja''(Hat trick)'' huondoka na mpira.
Je ingekuwa hata kwa mwanamke ukimpiga bao tatu unaondoka na chupi, wewe ndugu...
jamaa mmoja alienda kwny hifadhi,akaanza kujidai kwa walinzi kuwa yeye haogopi simba. basi wakamwonesha mti mmja ambao simba hupend kulala hapo na mtalii mmja akamwahd akikaa had waje simb...
mimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba...
leo asubuhi nimepokea ujumbe unaosema kwamba number yangu imeshinda 200,000 pounds katika shindano la nokia anniversary promo, kwa maelezo zaidi nimeekelezwa nitume mail kwenda [email protected]...
Mama mmoja alipewa kipigo msibani,baada ya kushutumiwa kumuua marehemu ambaye ni mtoto wa mdogo wake.Sakata hilo lilitokea mjini mahenge Morogoro vijijini.Kundi la watu waliokuwa msibani...
Magari mengi ya siku hizi si rahisi kuyaiba mpaka uwe na funguo yake. Hata hivyo wezi wa magari hawakosi mbinu kila siku. Tuwe waangalifu, usiache gari lako funguo ikiwa kwenye gari. Unatakiwa...
Wassira na Mbowe walijikuta kanisani wamekaa jirani, ghafla mchungaji akasema "kila mtu amwambie mwenzake ni mzuri" Mbowe akajibu "mchungaji sitaki kupata dhambi ya uongo"
Jf habari zenu , hebu kila mwenye uwezo wa kuangalia , achunguze japo kidogo tu thamani ya hizo nguo walizovalishwa watoto wetu waliopamba sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar , binafsi...
TEACHER: Ok, class let us show our guests how far we have reached.........if i say small, you say small, smaller, smallest
TEACHER:- Small
CLASS:- Small, smaller, smallest
TEACHER:-Big
CLASS:-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.