JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenyu binafsi wana Chit Chat.. Kwa mara nyingine nimerudi tena kutoka likizo... Niliwamiss sana wote wote.. From now nipo kwa saaaaaaaaanaaaa!!!!!!!!!! Cheer :humble::humble::humble: CL
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Mimi mgeni ndio nimejiunga leo sielewi chochote tunaitumiaje jf humu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
chakula chai daladala la kariakoo alafu yaani sijui kajisikiaje kwa sababu gazeti ah
0 Reactions
42 Replies
4K Views
nani mwongo zaidi kati ya hawa wana ndoa>>:A S 39:??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni ujinga kuchukua kamba waenda kujinyonga msituni, ghafla unakutana na simba then unamkimbia!! Tupiamo yako.
6 Reactions
126 Replies
13K Views
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Ni sehemu gani hapa Dar kuna majengo ya kifahari na hiyo sehemu ukitoa herufi tano za mwisho unapata jina la chombo cha kupikia jikoni,na hilo ukitoa herufi nne za mwanzo unapata jina la msanii...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipeni updates zenu mara moja nipo mlimani city kwa sasa
0 Reactions
105 Replies
6K Views
Ticha katoa mtihani wa biology. Swali mojawapo lilikuwa ni mchoro wa ndege na wanyama kama wa5 hvi,chini ya kila mchoro kulikuwa na swali taja kingdom,class,gentre za kiumbe huyu... Mwanafunzi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi nikweli?. nasemekana kuwa mnauhusiano na wanyama jamii ya nyani mnapoitana munatumia neno yego. nyani na tumbili na huitana hivyo, yegoyego,yego.yegoyego.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Queen's Riddle Mwai Kibaki met with the Queen of England. He asked her, "Your Majesty, how do you run such an efficient government? Are there any tips you can give to me?" "Well,"...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwanangu King'asti ni wiki sasa mimi na umbu lako tunakutafuta kwenye simu lakini kila tukipiga tunajibiwa eti unabadili badili line, kwani hujui kwamba moja yatosha...! Angalia kubadilibadili...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
CHEMSHA BONGO WAKUU; Nataka kujua km ww ni mtoto wa TOWN, sehem gani hapa dar kuna majengo ya kifahari na hiyo, hiyo sehem jina lake ni chombo cha kupikia jikoni, hilo, hilo jina ni jina la msanii...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Mida ya saa 12 jioni jamaa kahangaikia gari(daladala) hadi kapata. Kaingia ndani na 500 tu mfukoni halafu ndani wamebanana kiasi kwamba hata kunyanyua mkono wala kujikuna mtu hauwezi.Unaona bwana...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Mwenye Kigugumizi kapewa mua ale akajibu ! Si____si_____siwez_______ ---- _____----_____kumaliza ni___nina___ uboo____uboo_____Ubovu wa meno ___ la____la____labda __2___2___2katiane....!!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna wanyama kama ngombe anatabia ya kuenda haja huku anatenbea kwa madhumuni ya kuokoa muda. Je ndugu unajitahidi kiasi gani katika kuokoa muda wako?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa hakika pasaka itakuwa chungu leo na ukumbusho kesho na kesho kutwa baada ya kuibiwa gari na changudoa hapa maeneo xa kaumba bar mjini moro.jamaa alikuja peke yake bar,ila kuna madada...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Embu tudiskasi hii ki2? Asilimia 85 ya kina dada wamejazia makalio yao hadi wengine unawaonea huruma kama yanawaelemea vile, au kuna aina ya chakula wanakula ambacho kinakuza iyo mambo? Hapa nipo...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wandugu, Jamani nina siku mbili mfululizo sina umeme nyumbani kwangu. Na huwa nina mazoea ya kunua vitu vya mwezi mzima. Hivi ninavyoongea Samaki wote waliotoka kanda ya ziwa kwishne...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…