Mimi ndugu yenu Phd, leo machi 28, 2013 naadhimisha miezi mitano toka nipigwe ban ya wiki mbili mnamo 28 oktoba 2012 hapa JF. Sababu ya BAN ilikuwa kuleta habari ambazo ziliwachukiza wakubwa...
Move hiyo sijajua ni nani stering,utanisaidia;twende pamoja.
Namuona stering ni muhubiri,n anaponya watu na anafanya miujiza kweli,nikiwa naangalia move pembeni yangu yupo Mpenda Yesu...
Wadau wa jf, leo ni siku maalumu. Lakini umaalumu wake naomba uwahusu wale wote ambao tulipoteza akili kwa sababu ya "kibuza magezi". Mi kwangu ubwabwa kweli ni kibuza magezi sijui kwa wengine.
Wana Chitchat..
Tunawatakia sikukuu njema ya pasaka na tunapenda kuwakumbusha kuwa makini kipindi hichi cha sikukuu.. Bujibuji unapenda sana kunywa huku ukiendesha.. ni hatari sana na haswa...
Wakazi wote wa magorofani wametakiwa kuachana na tabia hatarishi kama vile kurukaruka wakiwa juu, hii ni kutokana na ukweli kwamba mengi yamejengwa kwa kiwango hafifu na wakati wowote yanaweza...
Sheikh Mohammed bin Rashid al Maktoum and Sheikha Hind Bint Maktoum (1979)Top 10 list_Listed by Guinness as the most expensive wedding ever, over 20000 guests were invited to a specially built...
Uko wapi? Njo 'ISRAEL PUB' tupo na Yuda ana Mihela balaa ! Kashamuuza YESU, hapa ni Nyama Choma & Mvinyo kwa kwenda mbele; si Petro, Luka, wala Marko wote wako chakari, Petro hafai eti anacheza...
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
S.L.P 2655770 DSM
26/03/2013.
Ndg, Wadau wa ChitChat
YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi...
Wakuu heshma yenu,
kama nilivyoahidi wakati naondoka arachuga kuwa ntarudi wakati umewadia kesho ntakuwa arusha for more ten days, hope kwa wale watakaopata nafasi tutawasiliana na kuonana na...
Nina muda kidogo sijaingia jukwaa dume hili, majukumu na kukosa muda, muniwie radhi wanachama waandamizi.
Nimekua kidogo, hata muziki ninaoupenda umebadilika na leo nimewaletea kibao...
Nimekutana na falsa yao moja iliyonishawishi KUAMINI kuwa mikataba iliyosainiwa juzi HAPA TANZANIA ni katika kuitekeleza hiyo falsa yao. Inasema hivi,...................................invest in...
1.Naskia una sura mbaya mpaka
ukijiangalia kwenye kioo kinaandika
''please wait''
2.Dada zako ni wabaya hadi
mmeweka
tangazo getinieti oa mmoja upate
wa pili
bure
3.Wewe ni mweusi hadi...
jamani dar es salaaam ndo inasifika kuwa na mawali nazi wengi,hasa mitaa ya manyanya,msisiri,mwananyamal keko yote hii nayo km hamjaelewa wale man wanaosaidia kazi za night za wadada...utakutana...
Habari zenu wapendwa wa CC.
Nimekuwa najiuliza mara kadhaa hivi ukipata kashifa/tuhuma ziwe za kweli ama za uongo ziwe nzuri ama mbaya unatakiwa kufanya nini.?
Nikafikiria sana mpaka nikaingia...
Ghaai mwathani nmediscover that nime2mia 4000 000ksh since i bought a safaricm line you can chek uas by dialing *141*50*070566854# how i wsh ningesave ninunue gari!
Kuna jamaa mmoja alipata ajali na kupelekwa hosi macho yake mawili yakaaribka na ikamlazmu abadilishiwe kafka pale daktari kamwambia macho ambayo yamebaki ni ya paka dah jamaa alikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.