JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi ndugu yenu Phd, leo machi 28, 2013 naadhimisha miezi mitano toka nipigwe ban ya wiki mbili mnamo 28 oktoba 2012 hapa JF. Sababu ya BAN ilikuwa kuleta habari ambazo ziliwachukiza wakubwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Move hiyo sijajua ni nani stering,utanisaidia;twende pamoja. Namuona stering ni muhubiri,n anaponya watu na anafanya miujiza kweli,nikiwa naangalia move pembeni yangu yupo Mpenda Yesu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naombeni mnipokee mi mwana JF mpya natarajia kupata mengi kutoka kwenu na ntachangia kwa kile ntachoweza Ahsanteni
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau wa jf, leo ni siku maalumu. Lakini umaalumu wake naomba uwahusu wale wote ambao tulipoteza akili kwa sababu ya "kibuza magezi". Mi kwangu ubwabwa kweli ni kibuza magezi sijui kwa wengine.
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana Chitchat.. Tunawatakia sikukuu njema ya pasaka na tunapenda kuwakumbusha kuwa makini kipindi hichi cha sikukuu.. Bujibuji unapenda sana kunywa huku ukiendesha.. ni hatari sana na haswa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
a,e,i,o,u. ba,be,bi,bo,bu. da,de,di,do,du. (Leo umesoma vizuri sana kesho tutasoma hesabu usisahau visoda na vijiti)..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakazi wote wa magorofani wametakiwa kuachana na tabia hatarishi kama vile kurukaruka wakiwa juu, hii ni kutokana na ukweli kwamba mengi yamejengwa kwa kiwango hafifu na wakati wowote yanaweza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sheikh Mohammed bin Rashid al Maktoum and Sheikha Hind Bint Maktoum (1979)Top 10 list_Listed by Guinness as the most expensive wedding ever, over 20000 guests were invited to a specially built...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Uko wapi? Njo 'ISRAEL PUB' tupo na Yuda ana Mihela balaa ! Kashamuuza YESU, hapa ni Nyama Choma & Mvinyo kwa kwenda mbele; si Petro, Luka, wala Marko wote wako chakari, Petro hafai eti anacheza...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
2 Reactions
38 Replies
3K Views
S.L.P 2655770 DSM 26/03/2013. Ndg, Wadau wa ChitChat YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi...
7 Reactions
83 Replies
6K Views
Wakuu heshma yenu, kama nilivyoahidi wakati naondoka arachuga kuwa ntarudi wakati umewadia kesho ntakuwa arusha for more ten days, hope kwa wale watakaopata nafasi tutawasiliana na kuonana na...
7 Reactions
80 Replies
5K Views
Nina muda kidogo sijaingia jukwaa dume hili, majukumu na kukosa muda, muniwie radhi wanachama waandamizi. Nimekua kidogo, hata muziki ninaoupenda umebadilika na leo nimewaletea kibao...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
a,e,i,o,u. ba,be,bi,bo,bu. da,de,di,do,du. (Leo umesoma vizuri sana kesho tutasoma hesabu usisahau visoda na vijiti)..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekutana na falsa yao moja iliyonishawishi KUAMINI kuwa mikataba iliyosainiwa juzi HAPA TANZANIA ni katika kuitekeleza hiyo falsa yao. Inasema hivi,...................................invest in...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
1.Naskia una sura mbaya mpaka ukijiangalia kwenye kioo kinaandika ''please wait'' 2.Dada zako ni wabaya hadi mmeweka tangazo getinieti oa mmoja upate wa pili bure 3.Wewe ni mweusi hadi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
jamani dar es salaaam ndo inasifika kuwa na mawali nazi wengi,hasa mitaa ya manyanya,msisiri,mwananyamal keko yote hii nayo km hamjaelewa wale man wanaosaidia kazi za night za wadada...utakutana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa wa CC. Nimekuwa najiuliza mara kadhaa hivi ukipata kashifa/tuhuma ziwe za kweli ama za uongo ziwe nzuri ama mbaya unatakiwa kufanya nini.? Nikafikiria sana mpaka nikaingia...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Ghaai mwathani nmediscover that nime2mia 4000 000ksh since i bought a safaricm line you can chek uas by dialing *141*50*070566854# how i wsh ningesave ninunue gari!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja alipata ajali na kupelekwa hosi macho yake mawili yakaaribka na ikamlazmu abadilishiwe kafka pale daktari kamwambia macho ambayo yamebaki ni ya paka dah jamaa alikubali...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…