JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akauliza, wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono. Akauliza tena...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo ya sayansi na teknolojia yamesaidia mambo mengi, lakini si kumbukumbu kuhuishwa ukubwani jamani!! Mama mweye umri wa miaka 65 alijifungua mtoto. Aliporuhusiwa toka hospitalini, akarejea...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee mmoja anayefanyia idara ya maji katika moja ya miji yetu, akawa anatamba mbele ya wafanyakazi wenzake juu ya mafanikio ya watoto wake kielimu na kimaisha. Akaanza: Mtoto wa kwanza yuko London...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dereva wa magari makubwa Mwana-mama aliamua kutafuta mbwa wa kumlinda ajapo safarini. Akampata mbwa kwa watu wanaofundisha na kuuza mbwa. Muuza mbwa alimwambia mama, "Mbwa huyu hapendi wanaume."...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daladala iliondoka kariakoo kufika magomeni konda akauliza: kuna mtu anashuka? Abiria mmoja akajibu: tumeziacha nyumban labda mitandio. Daladala ikawa inakaribia maziwa, yule abiria alosema...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Katika mkutano wa kijiji jamaa akaibuka ghafla na kukatisha hotuba ya mwenyekiti, mkononi ana bonge la shoka huku akisema "nasikia nilipokuwa jela kwa miaka mi5 kuna jamaa alikuwa ananitafunia mke...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Dogo mmoja kapelekwa hospital na mdingi wake,dokta akawa anamwandikia dawa,baba yake akatoka nje kuongea na simu,mtoto akamuinamia dokta na kumwita kwa sauti ya chini,dokta! dokta!......kwenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
KCSE.2013 HISTORY PAPER 1. Q.1.If mwalimu Dida garners 44,784 votes using a car and some times walking on streets. Required: a)calculate how many votes he could have garnered if he...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dada mmoja alizaa na MCHINA. Bahati mbaya mtoto akafariki dunia. Yule dada alilia sana sana, mara akasikika skilia kwa sauti kubwa " Nilijua tuuu.....mimi nilijua tuu....nilijua tuuu." Ikabidi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bibi wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Majuzi akaenda hospitali, daktari akampima akamwambia bibi TUMBO LIMEJAA GESI, utafanyiwa upasuaji. Bibi ghafla akatoka mbio akipiga mayowe, HII...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Mama mmoja huyo mchoyo kinoma, basi unaambiwa kuna siku kapika pilau lake la nguvu na kachumbari la kumwaga. Time ya kula ilipofika yule Mama akarudishia mlango wake ili aanze...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
A young man goes into a pharmacy and says to the pharmacist, "Hello, could you give me a condom. I'm going to my girlfriends for dinner and I think I may be in with a chance!" The...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Girl : "Forgive me father for I have sinned." Priest : "What have you done my child?" Girl : "I called a man a son of a bitch." Priest : "Why did you call him a son of a bitch?" Girl ...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
A question had appeared in an examination which read: "Give four advantages of Breast milk." One student began to answer the question : 1. No need to boil 2. Cats can't steal them 3...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa kampuni moja kubwa ya MAWASILIANO alikaribishwa kutoa speech katika tamasha moja la vijana lililokuwa limeandaliwa kuhusu kujiepusha na vitendo vyenye kuweza kusababisha MARADHI ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
im so grateful kuwa the part of JF naomben mnipokee kwa mikono 2
2 Reactions
9 Replies
841 Views
Binti wa miaka 12, alikuwa anaangalia driving licence ya mamayake. D.O.B 12/09/1980 Sex F Mara binti akamwambia mamayake, mama nishajua kwa nini unagombana na baba kila mara...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa form IV kwenye chumba cha mtihan wa Hesabu baada ya dakika30 akakaa chini ghafla,,Msimamizi akashangaa na kumuuliza"Kwanini umekaa chini?" Mwanafunzi akajibu"Swali la 9 linasema...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilivyochomeka mtoto akachomoa,akasema hajazoea.nikambembeleza ili niichomeke akakataa katu, basi nikamsubiri alale ili niichomeke vzuri.alipolala tu basi taratibu nikaichomeka ghafla akastuka na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kujenga Ukweni ni sawa na Kujenga kwenye Reserve Road
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom