JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina: 1. Battery inajaa baada ya dk.3 2. Simu ina redio,tv,microwave oven,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara n.k. 3. Waweza kuchapa meseji zako kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina hofu sana ninapoongea na mtu au watu sijui nini tatizo
0 Reactions
19 Replies
2K Views
asleep already he 90210 Season 5 Episode 17 shielder Bud Dearborne can't additional the force to arise for anyone all-embracing organisation bureau is already asleep already he The Bachelor...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tende ndio jina lake wala lisikusumbue. Ni la ajabu umbo lake pia na utamue. Utamu na ladha yake tofauti na rangie. Ni kubwa haiba yake mlaji ndio ajuae. Ni laini nyama yake watamani ujilie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe alikuwa hajatulia hata kidogo. Siku moja mkewe akiwa anajivinjari na msela, MLEVI akarudi home ghafla. mkewe akamwambia yule msela Usiondoke, lala hivo hivo mume...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Tatizo ni pale: - Unapoenda kwenye intavyiu ya kazi unakuta boss ni jamaa ambaye mlishawahi kugombana mahali flani. - Unapoandika status Facebook "Asante Mungu mshahara umetoka" halafu mwenye...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kijana aliamua kujiuwa baada ya kuharibika uso (reception) yake kutokana na ajali. Alipofika horofami ili ajitupe na afe, alimuona jamaa hana mikono na anacheza cheza. Akawaza mimim uso tu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mtu amepanga kufeli alafu ikatokea amefeli kweli je huyo amefeli au amefaulu?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Don't make a woman cry. There is nothing expensive in the world than a woman's tear.. When a drop of tear comes out of the eye, it first mixes with a loreal eyeliner and dior mascara . When it...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Uvumilivu umekwisha nani anitulize hebu njoo mdada njoo,ctaki kuvunga njoo.
0 Reactions
115 Replies
6K Views
Baada ya wiki mbili za haarusi Mama mtu alimuuliza mwanawe wa kike, Vp maisha ya ndoa? mtoto akajibu Duh! mama kama British Air Ways, mama mtu akatoka mpaka AIRPORT akaenda kuangalia ratiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alizamia kwenye semina ya wasomi iliyofanyika Ubungo Plaza. Muda wa kujitambulisha ukafika. Wa 1, Naitwa John Jackob niko UDOM mwaka wa 2 nasoma shahada ya SHERIA. Wa 2, Naitwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waha watatu walienda kwa ndugu yao, walipofika kwa ndugu yao mjini wakapewa soda, walipoondoka mmoja akatia kizibo mfukoni,baadae akamnong'oneza mwenzake,mwenzio nimechukua mbegu vp ww?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wasalamu. je wajua mambo yasababishayo laana? Yapo mambo mengi yanayoweza sababisha laana,leo naomba kila mmoja atupia walau moja tu. Mimi nasema Kunyoa denge(kiduku) na kuchora...
1 Reactions
99 Replies
5K Views
IKIWA JAMII FORUMS = HOME OF GREAT THINKKERS JE FACEBOOK = ????????? PIGIA MSTARI JIBU.:rockon:
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wishing you a day filled with goodness and warmth, Wishing you happiness… today and forever, Happy Women’s Day!
8 Reactions
37 Replies
5K Views
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Umapowasha simu yako ya NOKIA (orijinal) kunajitokeza picha ya mikono miwili inayoshikana . Sasa niambie hiyo ni mikono ya akinanani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa wanaChitChat?? Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za kwa Uongozi wa Jamii Forums kwani bila wao kutoa ushirikiano shindano hili lisingefanikiwa. Kama muonavyo...
13 Reactions
144 Replies
8K Views
habari zilizo nifikia hivi punde kwa wale wanaotumia barabara ya morogoro road imefungwa kutumika leo,serikali inawaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea kwani kuna babu anajifunza baiskel
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom