Jamaa alienda kuomba kazi ya ulinzi
akaambiwa awe amemaliza kidato cha 4 na awe anajua kiingereza
Naye akawauliza kwani wanaokuja kuiba ni wasomi au wazungu?
Ndugu wana JF mimi ni mgeni nataka kuwa salimia. Kwa walio nizidi umri Shikamoo
Kwa vijana wenzangu Maboooo
Kwa muda mrefu nimekuwa na soma trend mbali mbali kwa ujumla nimefurahi sana kuona ni...
LAW OF QUEUE:
If you change queues, the one you have left will start to move faster than the one you are in now.
LAW OF TELEPHONE:
When you dial a wrong number, you never get an engaged...
Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka...
Mambo yanaendaje waungwana?
Mbele yenu ni Nakadori kutoka mkoa wa kilimanjaro, naomba uniulize chochote kuhusu mimi iwe kuhusu mapenzi, uchumi, elimu, na mengine yoote nami nitakujibu kwa ufasaha...
SHOCK at ICC as 8 WITNESSES refuse to testify against President Elect UHURU KENYATTA. Panic and anxiety gripped the offices of the International Criminal Court (ICC) on Monday, after 8 key...
Mwizi mmja alisomewa staka la wizi wa simu mahakamani leo, hakimu akampa nafasi mtuhumiwa ajitetee na alijitetea kama hiv. Mwizi;~nilikuwa napita barabarani...
ni kwenye BONGO MOVIE pekee....leo naanza na 10.....
ni kwenye BONGO MOVIE pekee,flashback ya miaka 6 nyuma hafu unakuta wahusika wana simu za Iphone na Galaxy,laptop za Apple...
Imethibitika kwamba ,Majina ya watu, vitu, mahali na /au hali yanayo anza na herufi L yamekuwa na nguvu za ajabu sana kuliko herufi nyingine yoyote ile. Nguvu hizo zinaweza...
Once all the scientists die and go to heaven. They decide to play hide-n-seek. Unfortunately Einstein is the one who has the den......... ..He is supposed to count upto 100...and then start...
Adam na Eva
wangekuwa WACHINA
dhambi isingekuwepo
maana badala ya kula lile
TUNDA wangemla yule
NYOKA!!
Tatizo walikuwa wazungu
wanapenda MATUNDA
wakatuponza!!
ebu ona 2navo pata shida.
if u...
Habari wanachit chat!
Swali hili limelekezwa zaidi kwa wanaume! Nimexperience sana swala la kubambiwa kwenye daladala na huwa nakereka sana. Swali kwa wakaka!Hivi huwa mnapenda,inatokea tu, na...
Baada ya kuingia kwa Dr. (Agemate wake marehemu baba yangu)
Dr.Iwe.: Karibu mrembo, nini tena?
Me: Shikamoo Dr
Dr Iwe: eeh shida gani?
Me: najisikia dhaifu, kichwa na shingo vinauma.
Dr Iwe...
Hapa nikitambika kwenye kaburi la Captain Selous, nimeambiwa huyu mzee alijitolea katika Jeshi la Mwingereza ili kumuangamiza Mjerumani... (Picha zaidi nitaweka baadae)
Msinitafute mtandaoni...
Jamaa aliingia msikitini na panga mkononi huku jasho likimtoka, Akauliza "nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. Jamaa akarudia tena "nauliza nani muislamu humu? Wote kimyaaaa. Jamaa akamshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.