Hayo maneno yanaitwa makavu laivu nimepewa na mrembo mmoja hivi anayesoma kwenye chuo maarufu jijini Dar.Yaani bila laki 1 sijapiga bao na usiku kucha laki 4 na kama nimeshindwa kupanda dau...
Jamaa 1 alienda kufanyiwa upasuaji hospitalini akachomwa dawa ya nusu kaputi kwa ajili ya upasuaji huo akawa kama kafa kabisa doctor alivyomaliza kumfanyia akawa anaondoa vitu kwa bahati mbaya...
Baba na Mama walimtembelea mtoto wao wa kike alieolewa. Mtoto (mke) hakumjuilisha mumewe juu ya ujio wa wakwe zake. Alipika chakula kizuri akafika mumewe amsapprise. Mume lipofika wazee...
Marrying a Chagga
I have always known that getting married to a Chagga woman is a headache, especially if you are a kyasaka – but my girlfriend's dad took the cake and the cherry on top...
An old married couple is travelling by car. Being advanced in age, after almost eleven hours on the road, they were too tired to continue and decided to take a room. But, they only planned to...
A Texas rancher was doing agricultural consulting for a farmer in Kenya. He asked the farmer about the size of his property to which the Kenyan farmer replied "About 2500 hectares. When the...
Five men end up stranded on a tropical island. The only female around is a gorilla on the other end of the island.
After one whole month the guys are all sitting around and Garry stands up and...
Tanzania nchi nzuri sana:
Umeme upo lakini HAUWASHWI.
Mafuta yapo lakini HAYAUZWI.
Mafisadi wapo lakini HAWASHITAKIWI
Rais mzembe lakini HAJIUZULU.
Mahakama inauzwa ili KUJENGA HOTEL...
hebu mchekin Zola D msanii na boxer anavyojieleza kwenye fb wall yake kweli noma lugha za watu hizi
profile.....My name is David Michael Mlope,aka zola d king. I was born on 21st January...
1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi
2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani
3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko...
Kumekuwepo na tabia ya kuita majina ya watu kwa mkato.Kwa mfano Happiness huitwa Happy,Veronica huitwa Vero,
Abdalla huitwa Dulla,Ibrahim huitwa Imu.Jee majina haya MKUNDUMBO,MAMBOYA utayaitaje...
Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya...
Kuna huu wimbo wa msanii wa kenya DNA huwa unanifurahisha sana''Ati ukileta nyenyenye fimbo chapa''.
Na wewe shusha kero yako hapa
1.Wezi wote wa simu kwenye daladala FIMBO CHAPA
2.Wezi wa...
When you are completely unhappy
Vampire Diaries Season 4 Episode 16 not being close to people and turning to food for that fulfillment. When you are completely unhappy with yourself and insecure...
maana ya majina wawaitayo wapenzi wenu ndio haya :
Daring = Kubwa jinga.
Sweet = Zezeta.
Husband = Buzi.
Honey = Kimeo.
Dear = Wakuzugia.
My love = Wa usiku.
La azizi = Wa...
Mapacha wawili ! Walipenda sna kula kuku toka
utoto wao mpaka wanakua! Cku moja yule
wakike akaanza kuona mabadiliko ! Akamuita !
Kaka kuanzia leo sitakula Kuku tena ! kwanini ?
Akajibu njoo uone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.