charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,374
Kuna huu wimbo wa msanii wa kenya DNA huwa unanifurahisha sana''Ati ukileta nyenyenye fimbo chapa''.
Na wewe shusha kero yako hapa
1.Wezi wote wa simu kwenye daladala FIMBO CHAPA
2.Wezi wa waume za watu........
3.Wanaotuma tafadhali nipigie......
4..............
Na wewe shusha kero yako hapa
1.Wezi wote wa simu kwenye daladala FIMBO CHAPA
2.Wezi wa waume za watu........
3.Wanaotuma tafadhali nipigie......
4..............