Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nakuheshimu'' mzima wewe?
wewe weka tu usiogope........
mimi niko poa kabisa.
wewe weka tu usiogope........
mimi niko poa kabisa.
ah ah ah! na wote waliopo kwenye server lungu piga hao!
basi tuishie hapo.Nakuheshimu'' mzima wewe?
Ha ha ha!!
Unataka tuendelee kula joto la jiwe servani,sio?
Wanaoiba wake za watu fimbo chapa.........
Wanaomzengea The secretary fimbo chapa sana!
ah ah ah! nasikia server mliyo nyie wameipiga mnada
Huku kuna jitu katili,linaitwa Bucha ya nani,linatutandika viboko kila asubuhi na jioni!
Baba V amekonda mpaka hatamaniki!
ah ah ah! ombeni msamaha bana..
Msamaha wa nini kaka manoah!!
Niliwapa ukweli wazushi wa siasani,nikarestishwa!
Kwani ukimwita mtu anaye iba MWIZI umemtukana?
ujamtukana, ila una uthibitisho kua kaiba? Siasa mchezo mchafu