Wanaondika ma thread marefu kama kitabu au hadithi za shigongo wana nikera na ndio kero yangu. Bakora na fimbo chapa hao
Nb: ukishindwa kuelezea kitu kwa ufupi na kikaelewa, inamaanisha hujaelewa kitu.
hata wewe fimbo chapa.
Mbona na wewe umeandika maneno mengi..... FIMBO CHAPA..
uache uvivu wa kusoma.
Wachoya wa kutoa LIKE fimbo chapa
Wanaopost upuuzi......
wadada wanaovaa top/shirt bila sidiria........FIMBO CHAPA
wadada wanaovaa top/shirt bila sidiria........FIMBO CHAPA
MODS wote wanaotumia rungu lao vibaya kama @******** fimbo chapa!!
avae hivyo akiwa na mpenz wake na siyo barabarani aisee uwa najisikia vibaya utadhani mimi ndo niliyevaa.Hao watachapwa na fimbo kubwa
kabisa na wanatudhalilisha wanawake wenzao.Like!Like!
Wanatutendesha dhambi bure!