kundi la wake za watu walikuwa
kwenye
semina kuhusu namna ya kuishi
kwa upendo
katika ndoa. Muwezeshaji akauliza,
wangapi
wanawapenda waume zao? Wote
wakanyoosha
mikono. Akauliza tena...
Mambo ya sayansi na teknolojia yamesaidia mambo mengi, lakini si kumbukumbu kuhuishwa ukubwani jamani!! Mama mweye umri wa miaka 65 alijifungua mtoto. Aliporuhusiwa toka hospitalini, akarejea...
Mzee mmoja anayefanyia idara ya maji katika moja ya miji yetu, akawa anatamba mbele ya wafanyakazi wenzake juu ya mafanikio ya watoto wake kielimu na kimaisha. Akaanza: Mtoto wa kwanza yuko London...
Dereva wa magari makubwa Mwana-mama aliamua kutafuta mbwa wa kumlinda ajapo safarini. Akampata mbwa kwa watu wanaofundisha na kuuza mbwa. Muuza mbwa alimwambia mama, "Mbwa huyu hapendi wanaume."...
Katika mkutano wa kijiji jamaa akaibuka ghafla na kukatisha hotuba ya mwenyekiti, mkononi ana bonge la shoka huku akisema "nasikia nilipokuwa jela kwa miaka mi5 kuna jamaa alikuwa ananitafunia mke...
Dogo mmoja kapelekwa hospital na mdingi wake,dokta akawa anamwandikia dawa,baba yake akatoka nje kuongea na simu,mtoto akamuinamia dokta na kumwita kwa sauti ya chini,dokta! dokta!......kwenye...
KCSE.2013
HISTORY PAPER 1.
Q.1.If mwalimu Dida garners 44,784 votes using a car and some times walking on streets.
Required:
a)calculate how many votes he could have garnered if he...
Dada mmoja alizaa na MCHINA. Bahati mbaya mtoto akafariki dunia.
Yule dada alilia sana sana, mara akasikika skilia kwa sauti kubwa " Nilijua tuuu.....mimi nilijua tuu....nilijua tuuu."
Ikabidi...
Kuna Mama mmoja huyo mchoyo kinoma, basi unaambiwa kuna siku kapika pilau lake la nguvu na kachumbari la kumwaga. Time ya kula ilipofika yule Mama akarudishia mlango wake ili aanze...
A young man goes into a pharmacy and says to the pharmacist,
"Hello,
could you give me a condom. I'm going to my girlfriends for dinner and I
think I may be in with a chance!" The...
Girl : "Forgive me father for I have sinned."
Priest : "What have you done my child?"
Girl : "I called a man a son of a bitch."
Priest : "Why did you call him a son of a bitch?"
Girl ...
A question had appeared in an examination which read:
"Give four advantages of Breast milk."
One student began to answer the question :
1. No need to boil
2. Cats can't steal them
3...
Mkurugenzi wa kampuni moja kubwa ya MAWASILIANO alikaribishwa kutoa
speech katika tamasha moja la vijana lililokuwa limeandaliwa kuhusu
kujiepusha na vitendo vyenye kuweza kusababisha MARADHI ya...
Binti wa miaka 12, alikuwa anaangalia driving licence ya mamayake.
D.O.B 12/09/1980
Sex F
Mara binti akamwambia mamayake, mama nishajua kwa nini unagombana na baba kila mara...
Mwanafunzi wa form IV kwenye chumba cha mtihan wa Hesabu baada ya dakika30 akakaa chini ghafla,,Msimamizi akashangaa na kumuuliza"Kwanini umekaa chini?"
Mwanafunzi akajibu"Swali la 9 linasema...
Nilivyochomeka mtoto akachomoa,akasema hajazoea.nikambembeleza ili niichomeke akakataa katu, basi nikamsubiri alale ili niichomeke vzuri.alipolala tu basi taratibu nikaichomeka ghafla akastuka na...