Mramba:
Mimi ndo kiboko ya watanzania, yani nilinunua ndege mbovu na rada mbovu kwa bei za juu na waliponiuliza nikawaambia kuleni nyasi.
Ngereja:
Aaa wewe Mramba kweli kichekesho, yani watu...
Mchaga mmoja alienda baa na marafiki zake kunywa pombe.
Baada ya kumaliza starehe zao bili ikaletwa ikionyesha kila mmoja kanywa kama ifuatavyo:
Manka sh35,000
Marieta...
Wanaume wakiwa kwenye semina wakaulizwa, mara ya mwisho kumwambia mke kuwa wampenda ni lini? wengine wakasema leo asb, wengine muda sio mrefu.
Mwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
Uchunguzi wa haraka haraka umeonyesha kabila la Wanyakyusa sio tu lina majina yenye mwanzo wa Mwa..., Mwa.. .
Imethibitika pia kuwa kwao kila jina linaloanzia na herufi 'A' linaishia na herufi...
Kama tulivyokubaliana wadau basi ndo tumefika eneo la tukio na wadau waliokwishafika ni Remmy Mtambuzi Asprin Madame B
updates:
Mkuu Vin Diesel naye yumo ndani...
Umeamka zako asubuh ukaenda choon sasa wakat unaingia choon ukakutana na mpangaji mwenzio anatoka choon sasa na wew ulipoingia unakuta mshikaj amekata gogo ameshusha mzigo si wakitot na kuchafua...
Jamaa Alimpa mimba binti wa kichaga, Baba mtu alikasirika na akapanga kumuua jamaa, Jamaa akamtumia salaam mzee kwa kumwambia mzee ni kweli mie nimempa mimba binti yako na kusema ukweli sina...
Kama unajua mpira vizuri tu. Kunatimu ya angola inataka wachezaji watatu tu.
NAFASI ZIPO WAZI ZA MBELE ya KUCHEZEA LIBOLO FC YA ANGOLA. Hii ni timu iliyomfunga Simba mmoja bila bongo nation...
Yani kama umegundua huu uzi hauchekeshi;
Utakuwa umepona kweli kweli na hivyo kuidhinisha kuwa ule msemo wa "Kichaa huwa haponi, ila anapataga nafuu tu" ni wa uongo
Usikasirike kichaa kisije...
Siku moja mzungu mmoja mmisionari alikuwa anatembea kwa mguu kutoka shambani kwake kwenda nyumbani kwake katika moja ya vijiji vilivyoko Mkoani Iringa (kwa watani zangu wahehe).
Sasa alipokuwa...
Ni siku kama ya leo miaka thelatha karibia
tarehe kama ya leo asubuhi iliwadia
upepo na vipepeo angani vilirukia
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.
baba kapigiwa simu kidume mejipatia...