Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge...
Mwalimu wa historia alikuwa darasani na kuwauliza wanafunzi
MWALIMU; Eeeeehe!
Ni nani alimuua chifu mkwawa?
MWANAFUNZI; Aku sio mimi!
MWANAFUNZI 2; wallah! Sihusiki!
MWANAFUNZI3; kwanza mimi...
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
>Mshahara Tsh 600,000/= kwa
mwezi.
>Mda wa kazi kuingia saa 2.30
asubuhi
hadi saa 10 jioni.
... >Allowance 300,000/= kwa
mwezi.
>Siku za kazi jumatatu...
Siku moja jamaa mmoja
alienda kununua viagra
( dawa za kuongeza nguvu
za kiumea) kwenye duka
fulani la madawa, bac
kulikuwa na docta pale
akampa dawa flani na
akamwambia ile dawa
angeweza...
NIMEIKUTA HII HUKO FACEBOOK IKIWA IMETOLEWA NA WAKENYA:
Uuuuwi sijawapa uhondo,ndo natoka church ustake ona vioja ilikuwa church leo..
My pastor alikuwa na woman congregation and he made these...
07 February ni siku adhimu na nyeti, kwa Bibie huyu Mlimbwende, Mpole , Mkarimu , aliejaa upendo na kila member.
Aidha mithili yake kwa century hii wapo too scarcity! Lau kama wapo wa...
mchungaji mmoja katika
mahubiri yake huwa
anachangamsha sana
waumini
wake,kwa mfano utakuta
katikati ya
mahubiri utasikia
"..Muambie jirani
yako..Yesu anakupenda!"
basi kwa
furaha na...
Maisha ya ndoa iliyo jawa na amani ni matamu na yenye furaha sana katika siku zote za maisha ya binadamu hapa duniani. Mfano wa familia kama iliyopo kwenye picha hapo chini, nani asie penda...
Kipima joto ITV kinauliza: "Kukithiri kwa tatizo la Rushwa, Je kuanzishwa kwa Mahakama ya "TAKUKURU" kutasaidia?!"
Hivi Waandaaji wa hivi vipima joto ITV wanafikiri za kisomi? Wameshindwa kujua...
Nisaidie kujibu hy maswali: 1.Km elimu ni ufunguo wa maisha kitasa chake ni kipi? 2.km majuto ni mjukuu baba yake ni nani? 3.Aliye juu mngoje chini atakae...
Hii ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya polisi na kukuta yafuatayo:-
1.Majina ya vibaka
2.majina ya mafail aliyonayo. 3.majina ya watoto waliobakwa 4.majina ya watu/mama...
Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi na Airtel.
Mind you huduma hii ilikuwa inatolewa...
Wana JF,
Kwa niaba ya Bishanga, The secretary , Mr Rocky na bibie Amyner napenda kuwakaribisha kwenye hii Pub & Restaurant yetu mpya ambayo inawapa fursa kuja kupata vinywaji mbali mbali ukiwa na...
No English dictionary has been able to explain the difference between this two words: COMPLETE and FINISHED. Some people say there's no difference between two words but there is! When you marry...