Asalaam alaykum Marafiki zangu wote Wanachama watukufu wa Jamii Forums. Siku ya Leo ndio ni siku yangu tukufu ya
Kuzaliwa ninamshkuru Mwenyeezi Mungu kwa kuniweka mpaka siku hii ya leo ya...
How will Valentine's day find U this year?
1. In a relationship
2. Dumped & ditched
3. Single
4. Sick of love
5. Eating maize
6. Engaged
7. Working
8. Still searching
9. Just admiring others
10...
Wana JF habari za masiku.
Hakika lazima niingie kwa kupiga hodi kwani tangu mwaka uanze sijaonekana uwajani hapa, sasa ndugu zangu nipo na nimerudi kwa saaaaaana baada ya kuwa likizo ya...
Mchungaji: Pepo toka
Pepo akajibu: stoki
Mchungaji: Toka kwa jina la Yesu
Pepo: Stoki
Mchungaji: Nimesema toka kwa jina la Yesu
Pepo: Nimetumwa nije nikae kwa mtu huyu ili
kesho...
Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu.
Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka...
<tbody>
<tbody>
</tbody>
<tbody>
SAKATA la mtu anayeshikiliwa jeshi la polisi Kituo cha Buguruni kwa madai ya kujitambulisha kama mwanajeshi wa (JWTZ) mwenye namba za kijeshi MT 97185...
1. MANGO - Happily married
2. ORANGE - Single and searching
3. LEMON - Having a sex partner no strings attached
4. STRAWBERRY - In a relationship but in love with someone else
5. PEAR - Still in...
namashtee wajumbe,
kimsingi sidhani kama kuna ulazima sana wa kutumia nguvu kubwa kuwaachia mwanamke tofauti maneno yako ili uonekane mashuhuri tena kwa lugha ya inteview wakati ungetunza...
Wapendwa wana chitchat.... tunapendwa kuwatumia salamu za sikukuu ya mt. Velentino kabla ya siku yenyewe na keki hii tunapenda iwe kwa ajili ya sisi sote hapa CC, ni vigumu sana kuwataja kila...
Mama mmoja wa
Kichagga kaenda kwa
mara ya kwanza kwenye
hoteli moja ya kitalii.
Akaketi meza moja na
wazungu watatu. Mara
mhudumu akaja na
kuwauliza wale wazungu
kinywaji
watakachokunywa...
jina lake hata kulitamka naskia amani moyoni mwangu,simfahamu vizuri and so does he,ila i guess ndio jina lake asili,nikiona kaanzisha sired lazima niisome yaan,ooh nampenda sana jamani huyu...
An Arab national interviewed at US Embassy
CANSUL: Your name please?
ARAB: Abdul Aziz
CANSUL: What about SEX?
ARAB: Six times a week!
CANSUL: I mean male or female
ARAB...
nilimsikia mkuu wa wilaya ya mbozi akisema waliofaulu mboz zaidi ya asilimia 70 awajui kusoma na kuandika,na walichukua waliofaulu kuanzia alama ya F,je wale waliofeli wanajua nini,nini...
Nimekaa nikifikiri,ntafanyaje bila wewe Madame B katika maisha yangu.siku hazihesabiki ambazo nimekuwa mpweke.
Nawe unafahamu ukweli kuwa nilikuwa Bukavu kwa mazungumzo ya amani baina ya M23...
Ilikuwa ni kwenye uzi unaohusu mapigano ya kidini huko Buseresere Geita, Naam majibizano yakawa makali baina ya pande mbili,Natazama rungu la Mods likashuka na pingu kutoka upande wa mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.