JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwako rafiki mpendwa. Haijalishi umepitia na bado unapitia mangapi. Mungu ameahidi kukupa njia ya kutokea, kukupigania nawe uwe mshindi. Usiyaangalie unayoyapitia, bali mwangalie yeye...
14 Reactions
80 Replies
32K Views
Kipofu alimpiga mtu hadi kumuua akapelekwa mahakamani "HAKIMU" kwa nini umefanya ukatili wa namna hii "KIPOFU" Mheshimiwa hakimu marehemu aliniambia mwenyewe "NIPIGE UONE" kwa vile nilikuwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa flani alikuwa na tatizo akaenda hospitalini kumuona Daktari: Jamaa: "Dokta nina tatizo huku sirini." Daktari : "Hebu vua nguo tuone." Jamaa: "Sawa navua ila naomba usicheke, pliz...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Born today. 3....years now. Happy birthdate Petro Eusebius Mselewa!
1 Reactions
77 Replies
6K Views
Dear Brothers n Sisters wa JF. Recently nilipata msiba wa kuondokewa na shangazi na binamu yangu. Naomba kutumia jukwaa hili kuwashukuru sana wana JF wote walionipa pole za msiba huo. Asante...
13 Reactions
208 Replies
11K Views
I love you, Mom. - YouTube
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Muone uso kama Wasira!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
<br><div style="text-align: center;"><span style="color:#ff0000;"><strong><font size="4">Hay wana jf<br>Happy Valentine1<br></font><br>Natumai muwazima wa afya tele na mnaendelea vyema na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Maana siwaoni siku hizi ama wapo honeymoon ktk kijiji cha nyamturatunga?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Je niki2 gani ungependa kiwepo ktk katiba mpya? Ckiliza maoni yafuatayo; DEREVA: Trafik wasiwepo barabarani MWANAFUNZI: Hesabu zifutwe mashuleni MFANYABIASHARA: TRA itaifishwe WANACHUO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Messi kaingia na demu gheto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga. Aliporudi toka bafuni alimkuta messi akiwa na washikaji wengine wawili.Yule demu akahoji wale ni akina nani na wako pale kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata alikuwa anapanda kitandani alale ,mara mkewe akamwambia kua ameacha taa inawaka Bafuni, jamaa akaamka akawa anaenda kuzima Taa ....alipo fika Bafuni akacheki...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wadau wapendwa usichezee ban ni nouma nimetoka kwa msamaha wa rais chochoko tena baaas let us be great thinkers mic you lot Nyani Ngabu,,,,,,, watu8,,,,,, Baba V,,,,,,,,,, Ritz...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
23,1,9,19,12,1,13,21,14,1,23,1,11,9,18,9,19,20,15,8,21,11,15,13,11,15,1,14,9,7,5,9,20,1,14,1,11,21,19,1,2,1,2,9,19,8,1, 13,1,21,1...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za jioni wana Chit-Chat! Nimefuatilia kwa makini suala la Chimbuvu na Madame B na kugundua ubabaishaji mkubwa wa mwenyekiti wa kamati ya mahusiano CC. Kwanza,mwenyekiti alitangaza...
1 Reactions
105 Replies
6K Views
Uzee huooooo unanukia nukia! Nimetimiza miaka kadhaa leo! :baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Messi has been arrested! It is alleged that he was caught together with a group of gangsters in possesion of cocain and marijuana. They believe it is not the first time Messi has been...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti, sumu gani ni nzuri, ambayo ukiitumia inaua taratibu taratibu hata kwa mda wa mwaka mmoja?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom