Valentine salamu kutoka @watu8's family

Valentine salamu kutoka @watu8's family

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,420
Wapendwa wana chitchat.... tunapendwa kuwatumia salamu za sikukuu ya mt. Velentino kabla ya siku yenyewe na keki hii tunapenda iwe kwa ajili ya sisi sote hapa CC, ni vigumu sana kuwataja kila mmoja kwa jina kwani nyote kwa namna moja ama nyingine mmefanya maisha ya familia ya watu8 kuwa yenye furaha, amani na upendo, nasi pamoja na watoto wetu wapendwa charminglady, sweetlady, WiseLady na Davie S.M tunapenda kuungana nanyi ni kula keki hii pamoja tukiamini kwamba itazidi kutuweka pamoja na kuendelea kufurahi...Najua siku yenyewe kila mmoja atakuwa na mpenzi wake ndio maana nimeileta hii tuile mapema tukielekea siku yenyewe... Tazama ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakikaa pamoja kwa upendo...

Valentine-Cake-_-_01.jpg
 
Last edited by a moderator:

Ahsanteni sana familia ya watu nane. Naomba kuuliza.., hivi WiseLady kusaolewa!!?? Ni swali tu
 
Last edited by a moderator:
thanx for the valentine gritings , may ur family blessed forever
 
Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"

Acha hizo bana..!! si umeona ame mensheni watoto pale majina yao yanaishia Lady lady, mkuu japo angalia picha
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mpendwa...karibuni kwenye mtoko wa familia yetu, maana siku hiyo tutafunga Gazebo maeneo ya fukwe tukijumuika na tuwapendao

Ahsante sana, uwepo wangu utaakuwa katika kuwaombea.
 
Back
Top Bottom