Valentine salamu kutoka @watu8's family

Valentine salamu kutoka @watu8's family

Hahaha...yeaha nakumbuka ulinitonya kuhusu huo mtoko wa kwenda kwa Madiba

Kwa kweli namshukuru Mungu wife hajambo kabisa anajiandaa kwa valoentine tu siunajua ndio tunajiandaa zetu baadae kuzama jijini Durban kwa maraha mpwa
 
Hahaha...zawadi ya keki ndio muafaka kwa watu wote...hizo zawadi ndogo ndogo familia itazitoa kwa kila mtu kulingana na uhitaji au matakwa

Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"
 
USHAURI KWA WANA CC WOOTE

Hakuna Valentine Bila Pesa.
383058713_love_money1_xlarge.jpeg

Ndio maana yalinishinda mimi.
Mtu anapenda hela utadhani alizaliwa uswizi! Kha! Mbona mkongoman una kazi?
 
Thank u very much shemeji measkron na mzee mwenzangu watu8. Ahsanteni kwa salamu nzito hizi.
UPENDO NA UZIDISHWE MIOYONI MWENU LEO NA HATA MILELE. Na kila asomaye na aseme AMEN!
 
Last edited by a moderator:
Amen...kaka mkubwa, shukran sana kwa maneno ya baraka yenye hekima ndani yake.

Thank u very much shemeji measkron na mzee mwenzangu watu8. Ahsanteni kwa salamu nzito hizi.
UPENDO NA UZIDISHWE MIOYONI MWENU LEO NA HATA MILELE. Na kila asomaye na aseme AMEN!
 
Last edited by a moderator:
nampenda sana mume wako watu8 namuomba siku ya valentine
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"

pole,kwani vp huwezi tongoza mkubwa mpaka usiwe na mweza humu au muda bado kufika?
 
Back
Top Bottom