JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe"...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Tangazo la Party kama lilivyobuniwa na watu8 Paloma mwenyewe kama mnavyomuona amu akiwa kwenye pozi Madame B akim hug Paloma................ Zion Daughter alikuwa ndiye fundi mitambo...
7 Reactions
39 Replies
9K Views
Wana ChitChat, Katika thread yake ya tahadhari Invisible amesema kuwa kuna watu hapa Chitchat huwa wanajigamba kuwa wao ni moderators kwa kupiga mikwara ya kufa mtu kupitia PM na kuwapigia simu...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Mlevi mmoja aliingia kwenye daladala na kukaa siti ya mbele na kuweka begi kwenye siti kulia kwake, kisha akalala, punde mlevi mwingine akaingia na kutoa lile begi kisha akakaa naye...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
There are currently 7272 users online. 1155 members and 6117 guests Most users ever online was 10,588, 13th July 2011 at 21:34. JF Balaaa umbe tunaweza kufanya mengi..Kwa Hivi tu......
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Dereva mmoja baada ya kuua watu 25 kwa ajali ya gari,alikamatwa na Traffic na mahojiano yakawa kama ifuatavyo: Traffic: Wewe ni dereva gan?umepitia kwel driving school, Dereva:Ndio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani Nimerudi Mjini with my first Born.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa mjino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa Jumapili jioni tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa "RANGI MBILI" 5. Kupamba kadi sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.Alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Leo hii pale viunga vya Mwanayamala 'A' adjacent na ilipo shule ya msingi Mwanayamala Kisiwani katika kijiwe cha Mjeda maarufu kwa jina la LEO TUPO HAPA PUB wana CHIT CHAT tunakutana pale kuungana...
13 Reactions
97 Replies
8K Views
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Kama haitoshi ukanyambuliwa na kuwa mb*o, mhogo wa jang'ombe, mfalme kjcho, mara dushelele wewe unaiitaje....../ kikwenu mnaiitaje.......!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa ni aje...!! ujio huwa ni wa mawazo na kuwazua, kupimia upepo na kuchukua hatua stahiki, usiende kichwakichwa yakakufika ya kukufika ati,,, katika kupitiapitia jukwaani hapa nimebaini...
24 Reactions
297 Replies
15K Views
Jamaa anamatatizo kaingia kwa daktari JAMAA=dokta ninatatizo huku chini DOKTA=hebu vua tone JAMAA=navua ila usunicheke ,plz dkt usinicheke DOKTA=usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajamen usingizi hauna bausa, tutaendelea na michakato kesho kwa maja'aliwa ya mwenyezi. Kwa wale wenye 9t shift na zile shughuli nyingine za usiku nawatakia kila la kheri kuifanya JF active...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Niliingia mzima mzima , nikajiamini, nikaona unatoka familia bora yenye malezi ya wazazi wanaojitambua , kumbe ckujua ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo, nilishauriwa humu nikajifanya kichwa...
5 Reactions
172 Replies
8K Views
Do not count years Do not count books Do not count examinations Do not count Schools COUNT UNDERSTANDING!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna majambazi walifanikiwa kuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi...
10 Reactions
32 Replies
5K Views
Back
Top Bottom