Muarabu mmoja alikuwa napita sehemu fulani saa mbili usiku, akawaona watoto wanapenyeza vidole vyao baina ya shata na frame ya mlango wa nyumba yao,yule mwarabu akawakataza wale watoto kwa...
watanzania wavivu jmn!... hebu skia hii wezi 2 walivamia bank na kufanikiwa kuiba mabunda ya hela kufika nyumbani mmoja akamwambia mwenzake "hebu zihesabu tujue ni sh ngapi" mwenzie...
Hatua za mwanzo na mchakato ndio unaanza, baraka zenu zenu na maombi yenu katika kurifanikisha hili.
gfsonwin my mama mpenzi.
Baba V mwenyekiti
Donn wa ukweli kaka
Ronn M my bother
Chimbuvu...
Mtoto alimuuliza baba yake eti baba ukikuta noti ya sh.10,000 na sh. 5,000 utaokota ipi? Baba akajibu we ----- nini? Naokota ya sh. 10,000. Mtoto: We ndo -----! mimi naokota zote!!!
Tarehe 29/January 2011 ndiyo ilikuwa siku nliyojiunga Jamiiforums na leo natimiza miaka miwili. Si mingi lakini kwa niliyoyapata humu nnawez kusema nina full package ya faida, hivyo kwangu miaka...
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.
Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.
Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani...
Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha
Sent from my BlackBerry 9700 using...
daktari aliamua kupima maendeleo ya wagonjwa wake wawili wa akili. akawapa kioo na kuwambia wakiangalie na kutambua sura watakayoiona.
CHIZI 1; (huku akiangalia kioo) hii sura kama naijua vile...
huna hata mia mfukoni...afu unamtokea dada mzuri ana uwezo,ana push usafiri wake,ila kwa kuwa wewe ni iron heart unaenda kwa confidence unamueleza ziki zako ana kusikia na anakupa moyo wake,afu...
Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara tu, kwakua wapo mbali mbali mikoani, huyo jamaa akamwandikia mpenzi wake,(nimepata mpenzi mwingine wewe sikutaki tena! kwahiyo ile picha...
Sikumoja mwanaume karudi nyumbani saa chache baada ya kutoka home kuelekea kazini mata;
Mwanamke: khe kulikoni baba
Mwanaume: kumetokea ajali kazini
Mwanamke: ajali gani mume wangu niambie...
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then...
Kuna jamaa mmoja alikuwa mlevi sana wa pombe aina ya gongo.Mke wake na majirani zake walikuwa hapendi tabia yake ya kulewa mpaka anapoteza network.Hata hivyo mke wake kwa kushirikiana na majirani...
Hii ni english ya mwanafunzi bora wa form 4 kutoka shule mojawapo za kata TZ akimwambia mzungu ugumu wa kupanda mlima k/njaro sababu njia haijanyoka moja kwa moja:
SIR, TO PLANT MOUNT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.