Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

asante mama tutafata yale mema yajengayo na sio ya bomoayo.

mwanangu usidharau msheria ya baba yako wala usiyaache mafundisho ya mama yako, kwa maana haya yatakuwa mkufu shingoni mwako na kilemba cha neema KICHWANI mwako.
 
Najivunia kua na mama Rich woman njoo huku, daima mama nakuahidi tutaishi katika neno takatifu la Mungu
mwanangu usidharau msheria ya baba yako wala usiyaache mafundisho ya mama yako, kwa maana haya yatakuwa mkufu shingoni mwako na kilemba cha neema KICHWANI mwako.
 
Last edited by a moderator:
nimeupenda ushauri wako mama mkwe hii inaonyesha wazi kwamba mama una hofu ya Mungu hivyo hutakuwa kama wakwe wengine

Barikiwa Mkwe
Amen swthrt.
unajua nini?? mimi nina vidume viwili Ronn M na noahism nawapenda sana na namshukuru Mungu kwamba wote wameniletea wakwe wema sana jeneneke kwa Ronn M na wewe kwa noahism.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom