Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Karibu Slave siwe kukusahau brother wa ukweli

najua huwezi, pia nitaongea na my wife tuone tutachangia nini katika huu mchakato kama wanafamilia, kitu kimoja nimefurahia namna ambavyo mama pamoja na mchumba wako walivyofanikiwa kukubaadilisha tabia toka katika utukutu mpaka kuwa mwana mwema.
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni jambo la kumshuku Mungu, my mama pia mke mtarajiwa. Ushirikiano wa wanafamilia na upendo mnioneshao mnanipa faraja sana

Back
Top Bottom