Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Mpenzi kila nikuonapo maneno "I love you a lot" huchipuka moyoni na kukijaza changu kinywa...nami sasa nayatuma kwako...kiss kiss!!!

Mungu ni mwema sana noahism, ni jambo jema na la kumshukuru
Mungu huku tukizidi kuomba baraka zake Rich woman awe mke mwema kwako, naye mama mkwe shosti gfsonwin ametoa baraka zake!
 
Last edited by a moderator:
upweke sio mzuri Kipipi alafu unajua watu wasio kua na ndoa hufa mapema.
Dah kweli siku zinaenda. . . . mpaka na wewe wa juzi tu umeoa??? loh . . .harereeee harereee!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom