Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

Unanivuruga ujue .........

yani maombi yahitajika maana shuguli ipo naona kama kampeni za Donn kukurudisha C.C.B zinashika kasi sana loh sina raha mie Tonykpanasema nkuache wewe ni monster jamani niko njia panda mimi kweli haya mambo yana matatizo si mchezo ndo maana watu wanakunywa sumu ila sitakunywa Mungu anisaidie lililo lake litasimama daima hata wanadamu wakipinga
 
Last edited by a moderator:
Daima ni kuishi katika neno

Huyu jamaa si monster kama Tonykp anavyo sema.... Ila tu ni mwanachama muaminifu wa C.C.B japokuwa tu ni mtu wa ______ Rich woman Na ww karibu C.C.B lakini
 
Last edited by a moderator:
100% umepata. Hapa ndio nimemuacha sasa ivi akapumzike, tulikua tumejumuika pamoja tunapa chakula cha jioni hapa Chup Bhong

manoah naona unataka kuvunja mapenzi yangu na rich woman sasa nitoboe siri zako? ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom