Unanivuruga ujue .........
jamani nakwambia kiroho safi bado nakuvuruga tu
njoo kwanza PM mbona hunielewi eeeh!
cjazoea vya gizani mie,kuiba sijazoea nna huruma na vya wenzangu
kule sio gizani bwana, ni sehemu maalumu kwa ajiri ya nannii tu
atakuja anayestahili huko
laH hapa mbona imekua tatizo, ngoja nichukue maamuzi magumu tu, liwalo na liwe
Ushauri tu wa bure USIMUAMINI MANOAH HATA SIKU MOJA HUYO NI MONSTER ...... Rich woman
Asante sana measkron tunategemea hekima na busara zenu kama muongozo kwenye maisha yetu.
Hilo shaka ondoa kabisa, kikubwa ni kujua kwamba unapooa unatakiwa kuacha kuishi kama hujaoa vile.... ikiwa na maana kuacha kula magengeni, vijiwe na washkaji hadi usiku wa manane.... Mkeo na familia yako kwanza! wengine baadae
Mpenzi kila nikuonapo maneno "I love you a lot" huchipuka moyoni na kukijaza changu kinywa...nami sasa nayatuma kwako...kiss kiss!!!
Yes darling, am here daddy dearest, love you more!!