Nilifika Jana TNG saa 9 kasoro ivi, bahati mbaya ni mala yangu ya kwanza kufika pale, basi katika uliza uliza kuna binti mmoja ni mrembo hata beyonce hatii mguu pale, akasema eti na yeye ni Jf...
habari wana chitchat,kiukweli naipenda hii jukwaa nasoma kila siku yani ila natamani kucomment nashindwa mana kila post nayo iona ni kwamba wanaochangia ni walewale like mnajuana na mnajua nini...
Presha inapanda,
presha inashuka,
kila nikipigiwa simu ni mambo hayo ya matokeo inasemekana waliofaulu ni asilimia 15 tena wale ambao walirudia mitihani au walioexempt somo moja.
Na...
If she don't come into my hut, she will hurt my heart.
She sales seashel in Seychelle.
Never say never again.
Careless whisper.
Naomba nisaidiwe maana ya sentensi hizo hapo juu kwa kiswahili
mwakatobe
mwakasala
mwakyoma
mwakisu
mwafilombe
mwaipopo
ukiona mnyaki anakajina kafupi na classic mwambie arefushe utashangaa ande kumbe ni andendekisye au andembwisye tuli ni tulinagwe...
Kulikuwa na mzee mmoja ambaye ilikuwa kila akipiga simu anaambiwa kuwa namba unayopiga haipatikani siku moja akaamua kwenda makao makuu na kukutana na muhudumu ikawa hivi
Mzee"Samahani mjukuu...
hii nimekopi na kupaste huko MMU..
"perfume sio nzuri coz yai la uzazi la mwanamke hupendelea
harufu mbaya namazingira machafu ndio maana
wanawake wachafu ni rahisi kwa wao kupata mimba...
Wadau wa jukwaa hili naomba niwaombe radhi kwa wale waliotegemea uwepo wangu kule tanga, ila kila binadamu akipanga na mungu naye anapanga hivyo naomba mniwie radhi kwa hilo,najua kama bado tuna...
VERIFICATION RESULT & PAYMENT PROCEDURE ON PRIZE CLAIM.
To,
Name: MUNGI
Mobile Number:+25576721555
Country: TANZANIA Date:28th of December, 2012
Congratulations, we the staff of APPLE...
Is she a Virgin?
A fellow talking to his friend says,
"How can I tell if my girl is a
virgin ?"
Friend tells him, "You have to wait
till your wedding night, you show
it to her and ask what...
Stage 1 SMART
This is when you suddenly become an expert on
every subject in
the known universe. You know you know
everything and you want to
pass on your knowledge to anyone who will listen.
At...