JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
fungua hii link utoe stress.. world most funny video ever - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kuvuka salama 2012.Ukome sasa kutembea peku peku,shukuru Mungu amekunusuru phina ni hechaivi negative and so is her current bf the great billionare!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalaam wana JF. Kwanza napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia mimi, familia yangu, ndugu, jamaa, marafiki na wana JF kwa ujumla afya njema na nguvu ya kuuona mwaka 2013, Ni wengi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alinunua kifaa chakumkamulia ng'ombe maziwa, alipofika nyumbani akasema ngoja akijaribishe. Akakivaa kwenye Dushelele halafu akakiwasha ghafla kikawa kinamtekenya mpaka jamaa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
mara nyingi tumejikuta tukichapia au kuongea kinyume bila wenyewe kutaraji au pia tumewasikia wengine !cheki hii hapa natumai una yako. Gongo la mbali na mboto wapi ubungo?
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Sema wewe!!! Buruduka na music, movie (aaaah, kanumba hayupo), haya waweza kupata japo wine hapa Dodoma Mvinyo!!! Kama ni shida, Tafuta kitu ingineeeee, umeniskia kongosho, madame x, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwaka huu tutashuhudia wenye simu za michina wakipotea hewani kimya kimya, na wale wa antenna za mwiba wa samaki ndo hivyo tena, huu mwaka wetu ving'amuzi jeneresheni, happy new year Erickb52...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa upande wangu mwaka uliisha mara tu siku ya Christmas ilivyopita. Namshukuru Mungu nilivuka salama japo kiafya siko mzima sana. Ila leo nimekaa naona kuna huzuni inaniandama, Nimejaribu...
4 Reactions
108 Replies
6K Views
Jaman leo nmetabriwa, mke wangu atakuwa muuza v2mbua,nfanye nn mimi mtoto wa billgate,et wana jf
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. Naomba nitumie mda huu ulobaki kabla mwaka kuisha kuwaomba msamaha wale wote nilio wakwaza kwa namna moja au nyingine. kila binadamu ana mapungufu yake so i'm sorry!!. Wale...
3 Reactions
6 Replies
898 Views
Mwaka 2013 ibada zitakuwa hv: Mchungaji; Bwana asifiwe! waumini:Ameen! Mchungaji;Tuchukue laptops,iPad,tablets na sim zetu tufungue wakorintho13:13! Pia washeni bluetooth ili mpokee mahubiri.Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawakie kheri ya mwaka 2013 Mungu mwenyezi ni mwema anatupenda, tumshukuruni.
0 Reactions
1 Replies
779 Views
2012 the end of the world!!!!!!!! well it never happened. So what the conspiracies got for 2013? The masonic year only because it ends with a 13? i don't think it is. There's only one thing that...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nasikitika sana kuona peoples zikini husisha na Ciello pamoja na Lara 1, hiyo ni sawa na kulitea dhahama kwa huu mwaka kabla haujaisha. N:B, Ciello ni sawa kabisa na mama yangu. Je? Tamaduni zetu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni member yupi ungependa kutoka naye kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka? Angalizo: Kamati ya mahusiano chini ya Baba V Mamndenyi Judgement iko macho, usimchukue wa mwenzako. Mahusiano...
8 Reactions
245 Replies
12K Views
BOY: Baibe, i know i did u wrong but i just ask 4 ua forgiveness.... GAL:[message seen] 3minutes ago. BOY: Hunnie, pliz just forgive me... am a human being and am not perfect neither are...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajukuu na wapendwa wangu, Napenda kuwafahamisheni rasmi kuwa mie babu yenu ODM nimeamua kubadilika mwaka ujao (Umri ushaenda huu mambo ya ujana niwaachie vijana.) Hivyo basi ile biashara ya...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
usiku kuamkia kesho tanzania inabadilisha mfumo wa matangazo ya tv kutoka analogia kwenda digital,jivo naomba wanachitchat ambao awana ving'amuzi muwai mkachukue huu si upepo ni kweli,bado...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Kuna hili tangazo la redio la modemu ya iz-net n noumaa.demu alimkuta jamaa yake yupo na laptop anachat net kwa ku2mia modemu ya iz net.demu:mpenzi,tangu ulivyonunua modemu ya iznet,cku hz huongei...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Back
Top Bottom